Libertatem Pugnator
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 1,005
- 1,377
Kweli kabisaKutokana na hali zetu za kimaisha tulio wengi tunakula na kunywa tunavyovipata na sio tunavyovitaka........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaKutokana na hali zetu za kimaisha tulio wengi tunakula na kunywa tunavyovipata na sio tunavyovitaka........
Ni kweliWakati mwingine maradhi hutokea kama mitihani tu kwa mwanadamu na ukumbusho kwa wengine kuwa sisi SI lolote si chochote mbele ya mola wetu........
Unaweza ukafuata taratibu zote za kiafya lakini ukaangukia kwenye likakutesa na kuyachukua maisha yako.......
Kutokana na hali zetu za kimaisha tulio wengi tunakula na kunywa tunavyovipata na sio tunavyovitaka........
Kitu Cha muhimu ni kuishi kwa wema na wanadamu wenzako maana hakuna ajuae siku wala saa.........
Figo??! Yesu ingilia kati jmn
Figo??! Yesu ingilia kati jmn
Mungu amsaidie. nasema toka moyoni. wife wake vipi kutoa figo? na ndugu zake, kabla hatujaenda mbali.Figo zimefeli tumuombeeni apatikane mtu wa kumsaidia figo hata moja ili arudi katika hali yake ya kawaida
na chadema wamefanya nini kumsaidia, au ndio hivyo tena? tuwe wakweli. Mungu amsaidie,nasema toka moyoni.Mungu amuinue. Je yuko ICU ya hospitali gani?
Figo zimefeli tumuombeeni apatikane mtu wa kumsaidia figo hata moja ili arudi katika hali yake ya kawaida
Chadema kuanzia lini limekuwa shirika la afya?na chadema wamefanya nini kumsaidia, au ndio hivyo tena? tuwe wakweli. Mungu amsaidie,nasema toka moyoni.
mbona kumtoa mbowe na wenzake huwa mnachanga, kwanini msichange kuokoa maisha ya ndugu huyu? fanyeni hivyo prof atachangiwa na vyama vyote kwasababu ni mstaarabu, hana matusi, mtu wa watu, ni tofauti kabisa na wanacdm wengi.Chadema kuanzia lini limekuwa shirika la afya?
CCM walijitolea Nini kwa Magu?na chadema wamefanya nini kumsaidia, au ndio hivyo tena? tuwe wakweli. Mungu amsaidie,nasema toka moyoni.
Pole Sana, jitahidi kufuata Masharti ya hizo dawa.Figo zako Zita survive kwa miaka mingi tu.ARV inakula Figo balaa
Am a broke nigga complications zikinitokea sitaweza kuzimudu if I sell familia yangu itakulaKuwa na utu jitolee wape bure
Daaaaah [emoji26]Kuna wimbo wake mmoja unaitwa 'Kipi Sijasikia' kuna mstari anasema ' . . . hata maji kwenye glasi wanasema nakunywa pombe . . .'
Nisiwe muongo nafikiria nawapataje ndugu zake niwauzie figo.