Tumuombee sana Profesa J

Tumuombee sana Profesa J

Vijana si vyema kuweka mizaha linapokuja suala la afya ya mtu.....uhai na afya njema visitupe viburi na kudhani tupo salama sana......

Hata waliopo ICU wakipigania pumzi zao walikuwa kama sisi.....hakuna ajuae kesho yake isipokuwa mola pekee.......

Tujitahidi tuwe waungwana na kuwatia moyo Wenzetu wanaopitia magumu.......
 
Back
Top Bottom