Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pombe kaliAisee hatari, hivi hii issue ya figo kufeli imekaaje aisee naona sikuhizi inashika kasi sana tena kwa vijana wadogo. Ni nn hasa nikapelekea hali hiyo😥😥
Sio sababu pekeePombe kali
Unataka picha ipi?,ya Prof J au picha ya Figo anayoumwa?Picha Uzi bila picha ...JF ondoweni uzii huu hauna picha
Mungu amuinue. Je yuko ICU ya hospitali gani?Anaumwa sana,kalazwa ICU,hadi sasa haijafahamika shida nini.....Get well Soon Prof J.
Aisee kuna magonjwa mengine ni mtihani mkubwa sana, Allah amfanyie wepesi apatikane donorFigo zimefeli tumuombeeni apatikane mtu wa kumsaidia figo hata moja ili arudi katika hali yake ya kawaida
ICU ni hospitali gani hiyo?Anaumwa sana,kalazwa ICU,hadi sasa haijafahamika shida nini.....Get well Soon Prof J.
Halafu sijawahi kuelewa wanasema hata ukiwa na figo moja inapiga kazi sijui inakuaje zinafail kwa pamojaAisee hatari, hivi hii issue ya figo kufeli imekaaje aisee naona sikuhizi inashika kasi sana tena kwa vijana wadogo. Ni nn hasa nikapelekea hali hiyo😥😥
Utajiri namba moja ni afya
Watu8 haijalishi unafamilia ama hauna. Utajiri wa mwanadamu yeyote ni afya njema.Hakika...haswa kwa mtu kama huyu mwenye familia yenye watoto