Tumuombee sana Profesa J

Tumuombee sana Profesa J

Kweli aisee Kuna ndugu yangu mmoja alikua mfuatiliaji mzuri Sana wa masuala ya afya anakula vizuri mafuta hatumii ikibidi Sana kutumia mafuta anatumia ya alizeti tu pombe hanywi yaani kwa kifupi alikua anajali Sana afya yake kupitia chakula lakini bahati mbaya tulimpoteza kwa kansa.kwahiyo kifo ni fumbo
Kwahiyo unatufunza kukiukwa kanuni za afya??kuptia mfano wa nduguyo???
 
Kuna mwanangu mmoja mzee wake alikuwa na hilo tatizo la figo ila stage za mwanzo alivyoenda hospitalini moja ya ushauri alio ambiwa na madaktari ale matango.

Sasa kama ndio hivyo hivi kila chakula kina sumu, manake vyote tunavyokula kwa sisi wa mjini vinakuzwa na madawa,sasa tusaidie njia nyingine ya kusafisha figo.

Ila kuna matunda ni dawa nzuri mfano apple ni dawa nzuri ya kusafisha ini.
na hakuna kitu kinapulizwa dawa nyingi Kama matango na bamia.
 
Ushalima mazao yote?Halafu kumbuka ushauri wa kula matango ulitolewa na daktari.

Basi tufanye sawa je tufanye nini ili tusafishe figo zetu manake kila siku tunakula vyakula vilivyo puliziwa dawa.
 
Mama yangu alifariki kutokana na matatizo ya Figo. Hakuwa mlevi japo alikuwa akiletewa vibia viwili na mzee anakunywa, so Figo inachuja vitu vingi ikiwemo chumvi na sukari Kama haipo vizuri huzidiwa na kufeli tu.

Ukiona umeamka na unatembea huna matatizo ya afya mshukuru Mungu sana haya magonjwa huwa yanakuja tu at no time.

Figo inafanya kazi sana sambamba na moyo hizi no vital part of human bodies. Tusiweke mizaha figo yako ikiwa nzima shukuru sana kazi unayofanya ni kubwa mno kuchuja kila sumu na kuhakikisha Ile excess inatolewa kupitia njia ya haha ndogo.

Huyo ni wa kumuombea tu Figo hata ukipandikizwa chances of survival ni ndogo mno ni kwamba inaongeza siku za mateso tu duniani.

I wish Bunge sasa lipitishe sheria ya voluntary suicide kwa magonjwa Kama haya ambayo mtu akipata anabaki anateseka mpaka anapofariki.

Madaktari wanapaswa kupush huu mswada na waangalie best practices kutoka nchi za wenzetu ambao wamepitishwa hii sheria.
 
Inasemekana Ipo hata bongo wanafanya japo wanaipunguza makali raia wasijisikie vibaya. Inaitwa palliative care
 
Aisee hatari, hivi hii issue ya figo kufeli imekaaje aisee naona sikuhizi inashika kasi sana tena kwa vijana wadogo. Ni nn hasa nikapelekea hali hiyo😥😥
HIV/AIDS ni moja ya sababu. UKIMWI unamaliza sana watu kupitia magonjwa nyemelezi kama pneumonia, TB, kisukari, Figo, uti wa mgongo n.k. UKIMWI unapunguza Kinga mwili halafu hayo magonjwa yanakuja kati. Hali ni mbaya
 
Kweli aisee Kuna ndugu yangu mmoja alikua mfuatiliaji mzuri Sana wa masuala ya afya anakula vizuri mafuta hatumii ikibidi Sana kutumia mafuta anatumia ya alizeti tu pombe hanywi yaani kwa kifupi alikua anajali Sana afya yake kupitia chakula lakini bahati mbaya tulimpoteza kwa kansa.kwahiyo kifo ni fumbo
Pia wenye UKIMWI hawanywi pombe na wanashauriwa kuwa na tabia kama ya ndugu Yako. Afya ni siri, siri, siri sana
 
Mungu Amjalie afya njema.apate kuamka tuu akiwa na afya tele [emoji120][emoji120]
 
HIV/AIDS ni moja ya sababu. UKIMWI unamaliza sana watu kupitia magonjwa nyemelezi kama pneumonia, TB, kisukari, Figo, uti wa mgongo n.k. UKIMWI unapunguza Kinga mwili halafu hayo magonjwa yanakuja kati. Hali ni mbaya
Noma mzee, maana kama miaka mitatu hivi recently nimeshapoteza vijana ninaowafahamu perosnally watatu kwa issue hiyi ya figo. Huwa nikaa nawaza hata sielewi
 
Back
Top Bottom