vulturine fowl
Senior Member
- Jan 13, 2022
- 168
- 173
Kwahiyo unatufunza kukiukwa kanuni za afya??kuptia mfano wa nduguyo???Kweli aisee Kuna ndugu yangu mmoja alikua mfuatiliaji mzuri Sana wa masuala ya afya anakula vizuri mafuta hatumii ikibidi Sana kutumia mafuta anatumia ya alizeti tu pombe hanywi yaani kwa kifupi alikua anajali Sana afya yake kupitia chakula lakini bahati mbaya tulimpoteza kwa kansa.kwahiyo kifo ni fumbo