Tumuunge mkono Miss Tanzania atatuwakilisha vyema Miss World

duanzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
16,428
Reaction score
218
Wakuu.
Kuna vitu nimekaa na kuvifikiria kuhusu hili sakata la umri wa Miss Tanzania Sitti Mtemvu.,Hebu tujiulize, mamiss Tanzania waliopita ambao walikuwa watoto( wadogo kiumri) waliifanyia nini Tanzania? Zaidi ya kwenda Ulaya kuchezacheza tu na kushangaa magorofa..?
Kuna sifa za ziada ambazo miss Tanzania Sitti Mtemvu anazo kulinganisha na na mamiss wengine waliopita
1. Siti amesoma Marekani hawezi kuanza kushangaa shangaa magorofa.
2.Sitti anaijua vizuri lugha ya kiingereza ambayo taka usitake ndio lugha kuu ya mawasiliano kwenye mashindano hayo
3. Sitti ana elimu kubwa kulinganisha na mamisa wengine.
4.Sitti amekaa na wazungu muda mrefu so hawezi kujifeel inferior atakapokuwa nao kwenye mashindano.
5. SITTI ANA AKILI NA ANAJITAMBUA
 
Hapo kwenye red ndio umeniacha hoi sana. Wabongo bana 2014 lakini mtu akiolewa na mzungu anaandikwa gazetini.
 
Akuwakilishe... utaendelea kungoja sana kuwakilishwa. Hana kiwango huyo kujua kujieleza ni miongoni mwa vigezo..anamapungufu ya urembo.. Amechaguliwa akawasindikize warembo siyo yy upo hapo
 
Sawa kama umri ni namba as you say lakini kwa adanganye.. There is something fishy behind
 
hizi ndizo hekima za mtoa mada...tuna safari ndefu...
 
Huyu binti alitakiwa kwanza mpaka muda huu awe polisi kwa kosa la kughushi ila kwa vile baba yake ni mbunge tena wa ccm hapo sheria zinakuwa hazipo nchi ipo mfukoni hii
 
Jeshi la polisi linatakiwa likuchukulie hatua haraka sana kwa kughushi hiyo pasi ya kusafiria.
 
Back
Top Bottom