Wakuu.
Kuna vitu nimekaa na kuvifikiria kuhusu hili sakata la umri wa Miss Tanzania Sitti Mtemvu.,Hebu tujiulize, mamiss Tanzania waliopita ambao walikuwa watoto( wadogo kiumri) waliifanyia nini Tanzania? Zaidi ya kwenda Ulaya kuchezacheza tu na kushangaa magorofa..?
Kuna sifa za ziada ambazo miss Tanzania Sitti Mtemvu anazo kulinganisha na na mamiss wengine waliopita
1. Siti amesoma Marekani hawezi kuanza kushangaa shangaa magorofa.
2.Sitti anaijua vizuri lugha ya kiingereza ambayo taka usitake ndio lugha kuu ya mawasiliano kwenye mashindano hayo
3. Sitti ana elimu kubwa kulinganisha na mamisa wengine.
4.Sitti amekaa na wazungu muda mrefu so hawezi kujifeel inferior atakapokuwa nao kwenye mashindano.
5. SITTI ANA AKILI NA ANAJITAMBUA