- Thread starter
- #81
yule dada mbona ni full mkorogo na manywele ya kubandika. kweli tz ndo tunawanawakewbaya hivyo!!! mi siamini
ungeshiriki wewe mwenye manywele ya kizungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yule dada mbona ni full mkorogo na manywele ya kubandika. kweli tz ndo tunawanawakewbaya hivyo!!! mi siamini
Lete ushahidi wa huu umbea wako.
Unamuonea wivu sana Sitti. pole sana.. kama una ushahidi wa umri wake tofauti na cheti chake cha kuzaliwa ulete.
Picha ya passport yake imeambatanishwa nadhani huo ni ushahidi tosha...Ila kama haitoshi na yeye mwenyewe amejibu swali la waandishi wa habari kuwa hiyo ni private issue sasa kwa watu tunaofikiri ndani na nje ya box tunajiuliza why should someone like tht represent our NATION... ILA Nimekubaliana na mawazo yako.. upo sahihi... Ana miaka 23...
4.Sitti amekaa na wazungu muda mrefu so hawezi kujifeel inferior atakapokuwa nao kwenye mashindano.
Kweli wewe Laki sio pesa mwili mkubwa akili chache kweli aaaah yaaani hii Tanzania mapopompo tupo wengi sana.Inabidi JK akirudi China tuombe apitishe upimwaji wa akili za wananchi wake aaaah.
Mtu utatoaje comment ''Eti Sitti amekaa na wazungu sana so hawezi kujifeel inferior'' stupid thinking.Ndio maana jana kaulizwa tupe kituo ulichoripoti upoteaji wa Cheti cha kuzaliwa watu wakafokonyoe mafaili eti oooh tumtafute kwa muda mwingine hahaha kweli ''ONLY IN TANZANIA''

Sitti ameleta cheti original cha kuzaliwa. Na wewe lete hiyo paspprt yake.original t
yule dada mbona ni full mkorogo na manywele ya kubandika. kweli tz ndo tunawanawakewbaya hivyo!!! mi siamini
Tena sura imechujuka na huo mkorogo utafikiri wa miaka 35 kumbe wa 29 lol!
We muntu cjui wa Wapi???? Usijekuta ndio sitti mwenyewe au mpambaji wake... Anatetea maslahi Lol!!!
Ila kiukweli miss wetu ana zaid ya miaka 23,sura tu inaonesha!!!:|:|
Miss wetu wapiii miss wa lundenga huyooo asitubebeshe zigo la ma.v
mimi ni mpenda haki
Hawezi.kuwa miss wako kwa sababu wewe ni mkimbizi sio mtanzania. Sisi watanzania Siti ndio miss wetu wa ukweli
Haki??? Ipi na ya nani..??? na kama watetea haki lazima uwe neutral... Ila kama ni haki lazima ujiulize kwanini muwakilishi wako awe na documents zenye different in date of birth?? Na amelithibitisha hilo alipojibu swali la mwandishi... Anawanyima haki wanao stahili kuwania hilo taji...
1. Sasa wewe watetea haki ya nani???
2. Watanzania??
3. Ma-miss wanao stahili na wenye vigezo???
4. Au haki ya nchi yako kuwakilishwa na mtu anayestahili na mwenye weledi Sio ujanja ujanja???
Haki ipi na ya nani???
Sitti hakujipa ushindi mwenyewe.. Majaji walimpa ushindi baada ya kumuona amekithi vigezo vyao vyote ukilinganisha na mamiss wengine.. sasa wewe mnyalukolo unavyolalamika nakushangaa sana.. Majaji waliokuwa wanashinda na mamiss camp na kuwaangalia ndio wamempa ushind.. Sasa kosa lake liko wapi?
Laki ni Pesa una roho ngumu sio siri,