Tumuunge mkono Paul Makonda katika kubadilisha Arusha 9 Desemba

Nipende kusema kuwa Tanzania imebarikiwa kuwa na vipaji vya watu wa kipekee wenye kuasisi mambo mengi ambayo baadaye huchukuliwa na watu wengine duniani na kuwa sehemu ya ufanisi wa matarajio ya wanadamu.

Ukiweka pembeni unafiki basi hutaacha kuona namna gani mteule wa Mhe.Rais ndugu Makonda Paul Christian anavyoendelea kuonesha jitihada na kuishi kipaji chake au karama aliyojaaliwa na Mwenyezi Mungu inayosindikizwa na busara kubwa za Viongozi wetu wenye maono ambayo iliona yupo mtu huyu ambaye anaweza kuwa ni msaada kwa Taifa.

Paul Makonda kama tulivyo binadamu wote ni mtu mwenye asilimia zake za mapungufu na asilimia zake za mema.

Tumemuona kama wanadamu katika mapungufu yake na katika mazuri yake.

Leo nichukue fursa ya kumpongeza kwenye mema yake anayojitahidi kuyafanya na nimtie moyo kusimama katika mstari wa mema hayo.

nimuase pia katika kuyatafajari mabaya yake halisi na yale yote yaliyompelekea kutuhumiwa ayafanyie kazi ,akiri ama kuomba radhi katika nyakati zinazofaa na mazingira staatabu tunayoyatambua.

Zaidi nipende kumuombea kwa Mungu aendelee kumuongoza katika hekima kubwa ya kiroho, kidini, kimila na zaidi kizalendo.

Niendelee kumuombea awe na kiasi, usikivu, tulivu na subra.

Niwasihi wasiompenda wabadili mioyo na hulka na historia ..lakini zaidi wamuombee na kumsamehe kama kweli alipitiwa na kukosea.

lakini itoshe kusema kama Taifa ipo haja ya kuendelea kumjenga vyema MWAMBA MPYA HUYU WA KASKAZINI.

Mada hii inakuja baada ya mfuatano wa matukio ya kipekee anayoyafanya sasa kama Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

kila la kheri comrade SAUL CRISTIANO MAKONDA.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!

Pia Soma: Paul Makonda: Tutakachofanya Tarehe 9 Arusha hata wakisema ni uchawi poa tu
Sawa tutamuunga mkono mchungaji, mwalimu wa neno na askofu wetu Makonda.

Nukuu: Mfalme Nebukadreza kaota ndoto akachomoka mwanaume mmoja anaitwa Yusufu....

Daaaa!!! Mimi nilijua aliyeota ndoto alikuwa mfalme Farao kumbe mzee Nebu...

Kweli Mungu fundi kwa wanafiki wa neno lake.
 
Nipende kusema kuwa Tanzania imebarikiwa kuwa na vipaji vya watu wa kipekee wenye kuasisi mambo mengi ambayo baadaye huchukuliwa na watu wengine duniani na kuwa sehemu ya ufanisi wa matarajio ya wanadamu.

Ukiweka pembeni unafiki basi hutaacha kuona namna gani mteule wa Mhe.Rais ndugu Makonda Paul Christian anavyoendelea kuonesha jitihada na kuishi kipaji chake au karama aliyojaaliwa na Mwenyezi Mungu inayosindikizwa na busara kubwa za Viongozi wetu wenye maono ambayo iliona yupo mtu huyu ambaye anaweza kuwa ni msaada kwa Taifa.

Paul Makonda kama tulivyo binadamu wote ni mtu mwenye asilimia zake za mapungufu na asilimia zake za mema.

Tumemuona kama wanadamu katika mapungufu yake na katika mazuri yake.

Leo nichukue fursa ya kumpongeza kwenye mema yake anayojitahidi kuyafanya na nimtie moyo kusimama katika mstari wa mema hayo.

nimuase pia katika kuyatafajari mabaya yake halisi na yale yote yaliyompelekea kutuhumiwa ayafanyie kazi ,akiri ama kuomba radhi katika nyakati zinazofaa na mazingira staatabu tunayoyatambua.

Zaidi nipende kumuombea kwa Mungu aendelee kumuongoza katika hekima kubwa ya kiroho, kidini, kimila na zaidi kizalendo.

Niendelee kumuombea awe na kiasi, usikivu, tulivu na subra.

Niwasihi wasiompenda wabadili mioyo na hulka na historia ..lakini zaidi wamuombee na kumsamehe kama kweli alipitiwa na kukosea.

lakini itoshe kusema kama Taifa ipo haja ya kuendelea kumjenga vyema MWAMBA MPYA HUYU WA KASKAZINI.

Mada hii inakuja baada ya mfuatano wa matukio ya kipekee anayoyafanya sasa kama Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

kila la kheri comrade SAUL CRISTIANO MAKONDA.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!

Pia Soma: Paul Makonda: Tutakachofanya Tarehe 9 Arusha hata wakisema ni uchawi poa tu
Utukufu Ni kwa Mungu Juu Mbinguni
 
maadhimisho ya Siku ya Uhuru mwaka huu kwa mkoa wa Arusha yatakuwa na alama nyingine hata kama utaficha kichwa kama mbuni ...utayasikia tu
Hahaha uchawa, Nimemsikia Boss wako kasema mtaomba kutwa nzima siku ya sherehe za uhuru. Sjui mtakuwa na Mwamposa au Mzee wa upako.
 
huna ushahidi wa tuhuma za kiwango hiki ...tujifunze tujifunze tujifunze!
Angekuwa ni mtu mwenye kujutia uovu wake asingedanganya alipokuwa siku Lisu anashambuliwa kwa risasi huko Dodoma. Mengi anayoyafanya anayafanya kutaka kuhadaa umma kuwa ni mtu mwema, lakini uhalisia unakataa. Wanaposwa kufanya uchunguzi kuhusu tuhuma za Makonda ndio hawa wanaoendesha utekaji sasa. Na tabia hii ya utekaji ilishamiri sana wakati wa Magufuli, huku Makonda akiwa mtekelezaji mkuu wa uovu ule.
 
Umeniwahi nilitamani kuandika haya, huyu jamaa anajitihada na uthubutu ambao watu wengi hawana.
Mimi kwangu kiongozi ni yule mwenye maono, uthubutu na ari ya kusimamia utekelezaji wa maono yake. Kwangu mimi huyu ni mtu bora sana ambaye anaweza kutusaidia kuondokana na mkwamo wowote kwenye sekta yeyote.
Sisi sote tuko na mapungufu yetu km binadamu ila ni muhimu kutumia vizuri vipawa vyetu kwa manufaa ya wengi.
Bila kusema maneno mengi sana huyu kwangu narank juu sana miongoni mwa watumishi wetu.
 
Makonda ni ibilisi. Damu za watu alizomwaga atazilipia.
 
Umeniwahi nilitamani kuandika haya, huyu jamaa anajitihada na uthubutu ambao watu wengi hawana.
Mimi kwangu kiongozi ni yule mwenye maono, uthubutu na ari ya kusimamia utekelezaji wa maono yake. Kwangu mimi huyu ni mtu bora sana ambaye anaweza kutusaidia kuondokana na mkwamo wowote kwenye sekta yeyote.
Sisi sote tuko na mapungufu yetu km binadamu ila ni muhimu kutumia vizuri vipawa vyetu kwa manufaa ya wengi.
Bila kusema maneno mengi sana huyu kwangu narank juu sana miongoni mwa watumishi wetu.

Sawa Makonda tumekusikia ukijipigia promo hapa. Ukweli ni kwamba huna maono na Wala huna uongozi wowote zaidi ya kiki na kujitafutia umaarufu kwa nguvu.
 
Makonda ni mtu wa makelele meengi,l huku matokeo sifuri!.
Nitajie jambo moja tuu la maana alilolifanya Arusha ambalo limegusa maisha ya wana arusha hadi kwenye grassroots.
 
Nipende kusema kuwa Tanzania imebarikiwa kuwa na vipaji vya watu wa kipekee wenye kuasisi mambo mengi ambayo baadaye huchukuliwa na watu wengine duniani na kuwa sehemu ya ufanisi wa matarajio ya wanadamu.

Ukiweka pembeni unafiki basi hutaacha kuona namna gani mteule wa Mhe.Rais ndugu Makonda Paul Christian anavyoendelea kuonesha jitihada na kuishi kipaji chake au karama aliyojaaliwa na Mwenyezi Mungu inayosindikizwa na busara kubwa za Viongozi wetu wenye maono ambayo iliona yupo mtu huyu ambaye anaweza kuwa ni msaada kwa Taifa.

Paul Makonda kama tulivyo binadamu wote ni mtu mwenye asilimia zake za mapungufu na asilimia zake za mema.

Tumemuona kama wanadamu katika mapungufu yake na katika mazuri yake.

Leo nichukue fursa ya kumpongeza kwenye mema yake anayojitahidi kuyafanya na nimtie moyo kusimama katika mstari wa mema hayo.

nimuase pia katika kuyatafajari mabaya yake halisi na yale yote yaliyompelekea kutuhumiwa ayafanyie kazi ,akiri ama kuomba radhi katika nyakati zinazofaa na mazingira staatabu tunayoyatambua.

Zaidi nipende kumuombea kwa Mungu aendelee kumuongoza katika hekima kubwa ya kiroho, kidini, kimila na zaidi kizalendo.

Niendelee kumuombea awe na kiasi, usikivu, tulivu na subra.

Niwasihi wasiompenda wabadili mioyo na hulka na historia ..lakini zaidi wamuombee na kumsamehe kama kweli alipitiwa na kukosea.

lakini itoshe kusema kama Taifa ipo haja ya kuendelea kumjenga vyema MWAMBA MPYA HUYU WA KASKAZINI.

Mada hii inakuja baada ya mfuatano wa matukio ya kipekee anayoyafanya sasa kama Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

kila la kheri comrade SAUL CRISTIANO MAKONDA.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!

Pia Soma: Paul Makonda: Tutakachofanya Tarehe 9 Arusha hata wakisema ni uchawi poa tu
Tumsubiri na Lucas Mwashambwa naye alete speech yake
 
huna ushahidi wa tuhuma za kiwango hiki ...tujifunze tujifunze tujifunze!
Kama mifumo hairuhusu mazingira ya kutoa ushahidi usiulize swali kama hili Kwa ujinga wa kujitoa ufahamu! Hatuishi sayari tofauti ni sayari hii hii na watu ni sisi sisi kwenye mifumo kama hayupo sisi wapo ndugu zetu jamaa na marafiki na watu wa karibu.
Acha kuwa myopic- au kujifanya myopic to satisfy your ego wakati hunufaiki na chochote. When we speak about common good we mean common good not individual satisfaction. Watu waliolea mifumo hii baadae ilipowageuka walikosa msaada kabisa. Kama sio wewe your grandchildren will live to see this
 
Makonda ni mtu wa makelele meengi,l huku matokeo sifuri!.
Nitajie jambo moja tuu la maana alilolifanya Arusha ambalo limegusa maisha ya wana arusha hadi kwenye grassroots.
Ongezea mwishoni hapo ambalo pia ni sustainable. Kama haelewi maana ya sustainable mwambie endelevu! Linalenga kujenga ustawi wa jamii kisiasa kiuchumi. Katika maeneo muhimu kama afya, kilimo elimu! Ambapo Ndio maeneo yanayowagusa wananchi walio wengi katika nchi hii tena Moja kwa Moja.
Anachokifanya ni kutumia wajinga walio wengi wasiowaza kuhusu watoto wao na wajukuu zao kujinufaisha yeye binafsi kisiasa na kuchuma Mali atakazorithisha watoto na wajukuu zake!
 
Makonda anamema mengi kuliko maovu. Kwa maoni yangu.

Hivyo basi kwa anachokifanya Arusha hata kama anamisheni nyingine, lakini walau ile inayoonekana machoni kwa maana ya majukumu yake anafanya vizuri.

Hata hii ya trh 9 nitamuunga mkono. Kama hujawahi kuongea na Makonda, utabakia unamlaumu kila jambo. Lakini ni mtu mwenye nia njema sana kwa jamii.

Kwa hayo machache yaisiyofaa, namuombea msamaha na yeye pia aendelee kuwa katika njia sahihi.
 
Nipende kusema kuwa Tanzania imebarikiwa kuwa na vipaji vya watu wa kipekee wenye kuasisi mambo mengi ambayo baadaye huchukuliwa na watu wengine duniani na kuwa sehemu ya ufanisi wa matarajio ya wanadamu.

Ukiweka pembeni unafiki basi hutaacha kuona namna gani mteule wa Mhe.Rais ndugu Makonda Paul Christian anavyoendelea kuonesha jitihada na kuishi kipaji chake au karama aliyojaaliwa na Mwenyezi Mungu inayosindikizwa na busara kubwa za Viongozi wetu wenye maono ambayo iliona yupo mtu huyu ambaye anaweza kuwa ni msaada kwa Taifa.

Paul Makonda kama tulivyo binadamu wote ni mtu mwenye asilimia zake za mapungufu na asilimia zake za mema.

Tumemuona kama wanadamu katika mapungufu yake na katika mazuri yake.

Leo nichukue fursa ya kumpongeza kwenye mema yake anayojitahidi kuyafanya na nimtie moyo kusimama katika mstari wa mema hayo.

nimuase pia katika kuyatafajari mabaya yake halisi na yale yote yaliyompelekea kutuhumiwa ayafanyie kazi ,akiri ama kuomba radhi katika nyakati zinazofaa na mazingira staatabu tunayoyatambua.

Zaidi nipende kumuombea kwa Mungu aendelee kumuongoza katika hekima kubwa ya kiroho, kidini, kimila na zaidi kizalendo.

Niendelee kumuombea awe na kiasi, usikivu, tulivu na subra.

Niwasihi wasiompenda wabadili mioyo na hulka na historia ..lakini zaidi wamuombee na kumsamehe kama kweli alipitiwa na kukosea.

lakini itoshe kusema kama Taifa ipo haja ya kuendelea kumjenga vyema MWAMBA MPYA HUYU WA KASKAZINI.

Mada hii inakuja baada ya mfuatano wa matukio ya kipekee anayoyafanya sasa kama Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

kila la kheri comrade SAUL CRISTIANO MAKONDA.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!

Pia Soma: Paul Makonda: Tutakachofanya Tarehe 9 Arusha hata wakisema ni uchawi poa tu
Laana ya kumshambulia Mzee Warioba itamtafuna daima, uungwana ni kumuomba msamaha angali hai.
 
huna ushahidi wa tuhuma za kiwango hiki ...tujifunze tujifunze tujifunze!
Daaaaa!!! Kweli wewe Dada ni zombi na zezeta una mahaba mpaka unapitiiza unataka ushahidi wa aina gani wewe ?

Hata kama ni mnufaika kwake Punguza mahabaa.

Wakati maongezi yake ukimwangalia tu kwa macho unaona utetezi wake ni uongo, anajua kwa kuwa marehemu RuGe hawezi kujitetea yeye anaendelea kuudanganya umma
 
Nipende kusema kuwa Tanzania imebarikiwa kuwa na vipaji vya watu wa kipekee wenye kuasisi mambo mengi ambayo baadaye huchukuliwa na watu wengine duniani na kuwa sehemu ya ufanisi wa matarajio ya wanadamu.

Ukiweka pembeni unafiki basi hutaacha kuona namna gani mteule wa Mhe.Rais ndugu Makonda Paul Christian anavyoendelea kuonesha jitihada na kuishi kipaji chake au karama aliyojaaliwa na Mwenyezi Mungu inayosindikizwa na busara kubwa za Viongozi wetu wenye maono ambayo iliona yupo mtu huyu ambaye anaweza kuwa ni msaada kwa Taifa.

Paul Makonda kama tulivyo binadamu wote ni mtu mwenye asilimia zake za mapungufu na asilimia zake za mema.

Tumemuona kama wanadamu katika mapungufu yake na katika mazuri yake.

Leo nichukue fursa ya kumpongeza kwenye mema yake anayojitahidi kuyafanya na nimtie moyo kusimama katika mstari wa mema hayo.

nimuase pia katika kuyatafajari mabaya yake halisi na yale yote yaliyompelekea kutuhumiwa ayafanyie kazi ,akiri ama kuomba radhi katika nyakati zinazofaa na mazingira staatabu tunayoyatambua.

Zaidi nipende kumuombea kwa Mungu aendelee kumuongoza katika hekima kubwa ya kiroho, kidini, kimila na zaidi kizalendo.

Niendelee kumuombea awe na kiasi, usikivu, tulivu na subra.

Niwasihi wasiompenda wabadili mioyo na hulka na historia ..lakini zaidi wamuombee na kumsamehe kama kweli alipitiwa na kukosea.

lakini itoshe kusema kama Taifa ipo haja ya kuendelea kumjenga vyema MWAMBA MPYA HUYU WA KASKAZINI.

Mada hii inakuja baada ya mfuatano wa matukio ya kipekee anayoyafanya sasa kama Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

kila la kheri comrade SAUL CRISTIANO MAKONDA.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!

Pia Soma: Paul Makonda: Tutakachofanya Tarehe 9 Arusha hata wakisema ni uchawi poa tu
Muaaji huyu iko siku kivuli alichojificha kitaandoka, abaki mtupu na avune haki yake. Huyu muuaji na fisadi Makonda kuna siku arobaini yake itafika. Mungu hadhihakiwi.
 
Back
Top Bottom