Tunahitaji kuwa na uhakika ili kuweza kujipanga kwa hatua zetu za baadaye, iwe ni kusuka au kunyoa nywele zetu. Tunayo imani na CHADEMA ambayo ina misimamo ifuatayo:
1. Kipaumbele chao ni kupatikana kwa Katiba mpya.
2. Hawatakuwepo uchaguzi mkuu wa mwaka 2024/25 bila Katiba mpya.
Baada ya sherehe na matukio muhimu ya uzinduzi wa mikutano ya kisiasa na mapokezi ya wenzetu waliokuwa uhamishoni, tunatarajia sasa kama chama, tunajiandaa kwa kazi rasmi.
Tunatambua kuwa safari yetu haitakuwa rahisi. Tutakutana na changamoto nyingi na uchungu, lakini tunaamini tutashinda.
Tunapenda kupata taarifa kuhusu mpango wa hatua za kupata Katiba mpya. Tungependa kujua wazo lililopo akilini mwa viongozi wetu ili tuweze kuchangia na kujiridhisha.
Pia, ingekuwa vyema sana kumtambulisha mkuu wa mikakati ya chama kuelekea Katiba mpya.
Tunamuomba Mungu abariki CHADEMA.