- Thread starter
- #21
Cdm ya Mbowe imeshindwa kusimamia hayo kwa vitendo.
Imeamua kuungana na ccm ili kuvuna mapesa ya Abdul na ndio maana inakataliwa na wenye akili.
Lisu pekee atakiokoa hiki chama na kukirudisha kwenye agenda zake
Uzi huo ni 2023, tatizo ujuaji mwingi:
imhotep, denooJ, denoo JG, Alen Kilewela, Retiree, Erythrocytes, JokaKuu, Fortilo, Fundi Nchundo, Pascal Mayalla, Drifter, binti kiziwi, Mshana Jnr , waliomo na wasiokuwamo.