Tuna judge kwa Avatar?

Tuna judge kwa Avatar?

Unajua huku jamvini asilimia kubwa watu wanatumia avatar ambazo sio picha za sura zao. Hata ivo kwa ninavyoona mimi, na nadhani ni hali ya kawaida ya kibinadamu, watu wengi humu tunajibu hoja za watu kwa kuangalia avatar zao.

Kwa mfano avatar iliyokaa kimzaha kama ya Rose1980, watu wanajibu post zake kimzahamzaha tu. Ukikuta avatar iliyokaa inachekacheka kama ya Chauro, unatamani umjibu maana unaona kama mtu mcheshi vile. Watu wenye avatar za kutisha kama Ghost rider, utaona watu hawajibu sana post zao kwa kuwaogopa. Kuna wenye avatar zilizokaa kizezetazezeta kama Rejao, utaona kila mtu anampuuza hata akiongea point.

Avatar zilizokaa siriaz kama yangu, utaona watu wanavyojibu siriazli, chekini hata hii post...
Mbona mtajaji sana,hata we ROMANCE ulinijaji earlier sasa nimekuongeza nyingine.Kama mpo JF kujudge then hamuelewi aim yake.
 
Mbona mtajaji sana,hata we ROMANCE ulinijaji earlier sasa nimekuongeza nyingine.Kama mpo JF kujudge then hamuelewi aim yake.

hio id haiendani na maneno umetoa si judge natoa mawazo yangu tofauti na wengine wameyaweka rohoni kwao.
 
waenda wapi nikusindikize! manake taarab za kizungu beat na note haziendani kabisaa!

hebu njoo huku kwa mkono wa paka,
naona weekend hii kaanza kumtafuta ubaya rose1980................................
 
asante sana mkuu bahati mbaya hapa natafuta sana pakugonea senks lakini sipapati toka jana huo utaratibu naona wamefuta.

Kuna mkorofi mmoja alichakachua na akina Sokomoko kumshitukia na kumtungia sredi. Naona wahusika wameamua ni bora kuzinyofoa jumlajumla zote!! Kama ni temporary au permanent, sijui. Hata hivyo ki-module cha thanks kimekuwa na matatizo mara kwa mara, hii itakuwa kama mara ya nne sasa kama sikosei! Likes ni simple na easy to use kwani inatumia ajax ambayo iko optimized kwa version ya forum hivi sasa. Lakini ninavyofikiri Thanks inatumia php na saa nyingine inalazimisha ku-reload page yote ili ionekane, hivyo kuleta matatizo ya mara kwa mara.
 
baadhi ya maneno ni magumu lkn nimeelewa nini unasema basi naishia kukupa like asante mkuu.
 
Sijakasirika banaa.

Hata hivyo hii post nilikuwa natania tu, haina ukweli but watu wameichukulia siriaz kwa sababu tu ya avatar yangu... hahahaaaaaaaa...

Bila kuangalia kokote wewe utakuwa ni shomire na bilato bikashoma, unajifagilia hata kabla hujafagiliwa na mtu!!
 
hio id haiendani na maneno umetoa si judge natoa mawazo yangu tofauti na wengine wameyaweka rohoni kwao.
So wht do u want me to put so that u can feel better a pic of a saint may be? Coz its not good kama inakufanya unconfortable.
 
Avatar yako unaonekana Soo Innocent...!!, lakini hizi Avatar huenda zikawa misleading..
Nilikuwa siangalii Avatar naona itabidi nianze.

ya kwako na id ukitoa post yoyote ya kipuuzi nitakua so dissapointed unaonka umetulia na unajua nini unasema huku ukivuta sigara.
 
No! Lizzy kuna ukweli flani kwa mbali
eg.Mchungaji Masanilo na Avatar ya mzee yaani automatically anapatahisia kuwa ni Mchunga kondoo

na lizzy ndio alimvua confidence mrusha uzi mpaka akaanza kujitetea alikua anatania.
 
Back
Top Bottom