Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Romance your banter is awesome... so witty!! TGIF
Hii thread mbona imekaa kimipasho hivi......lol.....?acha nisepe zangu......mmh!
Mbona mtajaji sana,hata we ROMANCE ulinijaji earlier sasa nimekuongeza nyingine.Kama mpo JF kujudge then hamuelewi aim yake.Unajua huku jamvini asilimia kubwa watu wanatumia avatar ambazo sio picha za sura zao. Hata ivo kwa ninavyoona mimi, na nadhani ni hali ya kawaida ya kibinadamu, watu wengi humu tunajibu hoja za watu kwa kuangalia avatar zao.
Kwa mfano avatar iliyokaa kimzaha kama ya Rose1980, watu wanajibu post zake kimzahamzaha tu. Ukikuta avatar iliyokaa inachekacheka kama ya Chauro, unatamani umjibu maana unaona kama mtu mcheshi vile. Watu wenye avatar za kutisha kama Ghost rider, utaona watu hawajibu sana post zao kwa kuwaogopa. Kuna wenye avatar zilizokaa kizezetazezeta kama Rejao, utaona kila mtu anampuuza hata akiongea point.
Avatar zilizokaa siriaz kama yangu, utaona watu wanavyojibu siriazli, chekini hata hii post...
Mbona mtajaji sana,hata we ROMANCE ulinijaji earlier sasa nimekuongeza nyingine.Kama mpo JF kujudge then hamuelewi aim yake.
waenda wapi nikusindikize! manake taarab za kizungu beat na note haziendani kabisaa!
asante sana mkuu bahati mbaya hapa natafuta sana pakugonea senks lakini sipapati toka jana huo utaratibu naona wamefuta.
asante sana mkuu bahati mbaya hapa natafuta sana pakugonea senks lakini sipapati toka jana huo utaratibu naona wamefuta.
utaacha kupata mipasho hali unakojoa mbele ya mbwa.
Dogo gani alikuchakachua?
Kuna mkorofi mmoja alichakachua na akina Sokomoko kumshitukia na kumtungia sredi. Naona wahusika wameamua ni bora kuzinyofoa jumlajumla zote!! Kama ni temporary au permanent, sijui. Hata hivyo ki-module cha thanks kimekuwa na matatizo mara kwa mara, hii itakuwa kama mara ya nne sasa kama sikosei! Likes ni simple na easy to use kwani inatumia ajax ambayo iko optimized kwa version ya forum hivi sasa. Lakini ninavyofikiri Thanks inatumia php na saa nyingine inalazimisha ku-reload page yote ili ionekane, hivyo kuleta matatizo ya mara kwa mara.
huku kwetu igembesabho, hakuna choo Romance!!!!!!!!!!!!!!!
Avatar yako unaonekana Soo Innocent...!!, lakini hizi Avatar huenda zikawa misleading..hao ni wale wanatumia simu mara kwa mara.
Sijakasirika banaa.
Hata hivyo hii post nilikuwa natania tu, haina ukweli but watu wameichukulia siriaz kwa sababu tu ya avatar yangu... hahahaaaaaaaa...
So wht do u want me to put so that u can feel better a pic of a saint may be? Coz its not good kama inakufanya unconfortable.hio id haiendani na maneno umetoa si judge natoa mawazo yangu tofauti na wengine wameyaweka rohoni kwao.
Avatar yako unaonekana Soo Innocent...!!, lakini hizi Avatar huenda zikawa misleading..
Nilikuwa siangalii Avatar naona itabidi nianze.
So wht do u want me to put so that u can feel better a pic of a saint may be? Coz its not good kama inakufanya unconfortable.
No! Lizzy kuna ukweli flani kwa mbaliCRAP...how is that for a serious reply?!
kama una access na jukwa la wakubwa nakupa link labda utapenda umuoe atoke mikononi mwangu nimechoka.
https://www.jamiiforums.com/mambo-ya-kikubwa/148500-nataka-kufika-kileleni.html
No! Lizzy kuna ukweli flani kwa mbali
eg.Mchungaji Masanilo na Avatar ya mzee yaani automatically anapatahisia kuwa ni Mchunga kondoo