Na nyie ndo akili ndogo zaidi, tangu 1992 hadi leo bado mmeshindwa kutumia akili ili kuja na mbinu ya kuitoa hiyo ccm madarakani?!!!! Na mmeshindwa sababu akili zenu ni ndogo zaidi yao. Najua mnakimbilia kwenye kijisababu chenu cha kisungo eti 'wanatumia vyombo vya dola!' Si ndo mutumie akili sasa kulimaliza hilo! Kuna kingine zaidi ya akili?!!!!
Tena hapo kuna kundi limefanya kioja cha mwaka 2015......watu wao wooooote walienda ccm; for your information, wapo huko mpaka leo. Na bado hako kakundi hakaonyeshi tu dalili ya kukua kiakili hata kidogo.....wanakesha kumtukana Zitto tu ambaye hajibu kitu zaidi ya kuwaonyesha moja ya vidole vyake. Ukiacha hilo, eti juzi bila aibu wanatangaza bifu na mtoto mdogo tu na msanii wa kizazi kipya bifu ambalo wameshindwa kabla ya kuanza. Uko sahihi mtoa mada, akili hakuna kabisa!!!