Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana

Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana

Na nyie ndo akili ndogo zaidi, tangu 1992 hadi leo bado mmeshindwa kutumia akili ili kuja na mbinu ya kuitoa hiyo ccm madarakani?!!!! Na mmeshindwa sababu akili zenu ni ndogo zaidi yao. Najua mnakimbilia kwenye kijisababu chenu cha kisungo eti 'wanatumia vyombo vya dola!' Si ndo mutumie akili sasa kulimaliza hilo! Kuna kingine zaidi ya akili?!!!!

Tena hapo kuna kundi limefanya kioja cha mwaka 2015......watu wao wooooote walienda ccm; for your information, wapo huko mpaka leo. Na bado hako kakundi hakaonyeshi tu dalili ya kukua kiakili hata kidogo.....wanakesha kumtukana Zitto tu ambaye hajibu kitu zaidi ya kuwaonyesha moja ya vidole vyake. Ukiacha hilo, eti juzi bila aibu wanatangaza bifu na mtoto mdogo tu na msanii wa kizazi kipya bifu ambalo wameshindwa kabla ya kuanza. Uko sahihi mtoa mada, akili hakuna kabisa!!!
Una hoja kubwa sana. Kama wapinzani wangekuwa na akili nyingi basi wangeshaitoa ccm madarakani siku nyingi.
 
Sio kweli mkuu, tulikuwa pazuri kiuvumbuzi mpaka wakoloni walipokuja na "Destruction of industries"

Point za olevel

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, sasa weka ukoloni pembeni. Mfano uongozi wa sasa hivi umengiliwaje na ukoloni mpaka unaona uuze/kugawa bandari, je hauoni dalili ya uwezo mdogo wa kufikiri katika viongozi wetu? Yaani phd zote na maprofesa wote na wasomi wote wameshindwa kuendesha bandari mpaka anapewa dpw?
 
Umeona ee?!!!
Hapo nimeona hoja. Maana akili haijifichi. Kama wangekuwa na akili nyingi na wao wapinzani wangefanya jino kwa jino yaani wangeweka mapandikizi yao kwenye vyombo vya dola(polisi, usalama,jeshi) Maana yake wangeshawatoa ccm siku nyingi sana.

Wao wanawekeza nguvu kwa raia mchovu na muoga kama mimi, nitawasaidiaje 🤣🤣🤣
 
Thinking capacity ndogo sana.
Elimu nayo ndogo.
Bado ni wabishi. Hawataki kusikiliza.
Hao hao wananjaa.
Hao hao ndio wazazi wa taifa la kesho.
Hao hao ndio viongozi wetu.

We are not getting better.
 
Am telling you for this trend hatutoboi tumejilegeza na kuharibu mno katiba mpya tu hapa tunadukumana , tunatakiwa kuwa na mifumo ambayo hakuna mtu binafsi ana mamlaka nayo kama sasa . Sasa hivi wafu wameshikilia mifumo ukzuia uozo unapigwa shock wewe hiyo mizizi mpaka tuitoe ni migumu kama kung'oa jino bila ganzi
 
Upo sahihi.
Lakini kwa upande mwingine kwa nini mpaka leo tumeshindwa kuwatoa ccm madarakani. Maana yake hata sisi tuna akili ndogo sana, hasahasa vyombo vya dola (polisi, jeshi, usalama). Kama vyombo vya dola vingekuwa na watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri, basi wasingekubali kutumika kuiba kura na kuchakachua uchaguzi.

Nawaza nje ya box
Kuna rafiki yangu ni mzungu huwa ananiambiaga The Knowledge Seeker "Don't think outside the box, throw the box away"
 
Na nyie ndo akili ndogo zaidi, tangu 1992 hadi leo bado mmeshindwa kutumia akili ili kuja na mbinu ya kuitoa hiyo ccm madarakani?!!!! Na mmeshindwa sababu akili zenu ni ndogo zaidi yao. Najua mnakimbilia kwenye kijisababu chenu cha kisungo eti 'wanatumia vyombo vya dola!' Si ndo mutumie akili sasa kulimaliza hilo! Kuna kingine zaidi ya akili?!!!!

Tena hapo kuna kundi limefanya kioja cha mwaka 2015......watu wao wooooote walienda ccm; for your information, wapo huko mpaka leo. Na bado hako kakundi hakaonyeshi tu dalili ya kukua kiakili hata kidogo.....wanakesha kumtukana Zitto tu ambaye hajibu kitu zaidi ya kuwaonyesha moja ya vidole vyake. Ukiacha hilo, eti juzi bila aibu wanatangaza bifu na mtoto mdogo tu na msanii wa kizazi kipya bifu ambalo wameshindwa kabla ya kuanza. Uko sahihi mtoa mada, akili hakuna kabisa!!!
Siasa haina uadui wa kudumu wala urafiki wa kudumu, yeyote anaweza kwenda popote!! Unaposema akili means wapinzani wapambane na jeshi ama unamaanisha akili gan?
 
nakubaliana na wewe. akili ndogo pia wana access na media. siku haipiti hujamsikiliza mtu kama mwajiku au keginte
 
Hapo nimeona hoja. Maana akili haijifichi. Kama wangekuwa na akili nyingi na wao wapinzani wangefanya jino kwa jino yaani wangeweka mapandikizi yao kwenye vyombo vya dola(polisi, usalama,jeshi) Maana yake wangeshawatoa ccm siku nyingi sana.

Wao wanawekeza nguvu kwa raia mchovu na muoga kama mimi, nitawasaidiaje 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
Hawana akili kabisa!
 
nakubaliana na wewe. akili ndogo pia wana access na media. siku haipiti hujamsikiliza mtu kama mwajiku au keginte
Yaani hao watu ndio maarufu na wameshika watu akili.

Yaani miziki na mpira hapo watu wote wanapenda, hawaambiliki. Yaani asubuhi asubuhi watu wanamuongela daimondi, hamonaizi na alikiba. Baada ya hapo simba, yanga na Manchesta baada ya hapo siku imeisha 🤣
 
Kama Taifa. Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana (low thinking capacity/ low reasoning capacity) pia wengine wapo ndani ya serikali tena kwenye sehemu nyeti na muhimu, na wengine ni viongozi wakubwa sana. Na ndio maana kama taifa hatuendelei. Hapo tuombe Mungu dunia iishe mapema, labda tutatoboa Mbinguni.
Halihitaji akili kuubwa kujua Hilo.
 
Ulaya watu wachache wenye IQ kubwa wameweza kubadilisha maisha na hata wenye IQ ndogo wamewefaidika.
Hivyo basi nini kinawazuia wenye IQ kubwa kuvsdili mambo ?
Mfano Dangote amebadiri mambo na wenye IQ ndogo wabanufaika kwa uwezo wa Dangote.Hapa kwetu marehemu Mengi.
Wenye IQ kubwa wawajibike kwa wenye IQ ndogo.
Normal distribution curve ni baguzi sana, huwa favor wachache kwa kila jambo.
 
Watumishi wa serikali na viongozi wanatoka kwenye jamii hizi hizi za kwetu. Kama low thinking ni tatizo basi linaanzia ngazi ya familia kabisa.
Hizo tabia wanazo onyesha huko wanatoka nazo kwenye jamii zao
Gifted and talented sio kitu cha wengi.
Hata huko China sio wengi kama mnavyodhani. Mfano mtu kama Albert Einstein hutokea baada ya miaka 100 mpaka prob sampling au trial za uzazi nyingi zifanyike uje upate abdominal DNA make up.
Imagine unataka upate breed fulani ya mimea. Mpaka uje upate hio breed kuna trial nyingi sana. Imagine binadamu tunafanya natural breeding. Unadhani ni rahisi kuzikutanisha DNA mbili powerful zilete matokeo tunayotataka?
 
Kama Taifa. Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana (low thinking capacity/ low reasoning capacity) pia wengine wapo ndani ya serikali tena kwenye sehemu nyeti na muhimu, na wengine ni viongozi wakubwa sana. Na ndio maana kama taifa hatuendelei. Hapo tuombe Mungu dunia iishe mapema, labda tutatoboa Mbinguni.
Na watu wengine wapo huku mtahani ambao ni" WACHAWI", ni watu wenye akili ndogo mno sana zaidi.

Yani jamii ikiwa na WACHAWI wengi kuendelea mi ngumu sana
 
Back
Top Bottom