OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
si umeona askari wa iraqi wakipiga za Rambo lakini ISIS walipoingia jamaa wanatimua kama wezi wa njiwa?
Mkuu nyie msiolijua jeshi letu ndo mnaweza kutumika kirahisi kama mamluki.naomba usidanganyike kabisa kwamba eti una makomandoo wazuri. Wako wapi? Ni ile ile hadithi ya polisi wetu na hata hao wa huko Kenya. Wanahangaika kutisha raia kwa kuwa wana mikanda ya chuma na bunduki, lakini subiri wakutane na Al Shabaab, weeee! Hapo ndo utajua kwamba ni wadhaifu. Hawana lolote.
utakuwaje komando wa maana wakati unakula ugali na nyama kila siku na kuongeza maharage. Bahati mbaya utotoni makuzi ndo hayo, unaishia kukomaa miguu na fuvu la kichwa tu! Brain hoi!
Kwani bongo kuna nini kitakachonifanya nisifu watu ninaowafahamu udhaifu wao? Au ile patriotism? Huwezi kushinda kwa kushangiliwa tu. Tuwe na fact maana mifano yenu eti ni comoro na drc.
Ziko nchi zina komando wa kueleweka bhana. Uliza Angola ndo utawajua komando wanafanya nini.
Mkuu mi sina wasi wasi kama kikosi kama hicho kipo na ni sehemu ya Jei Waa.
Lakini kama mmoja alivosema hapo juu ni hawa Tigo tunao wafahamu, basi imani yangu ina yoyoma.
Zaid ya mgambo wa city ambao najua ndo wako faster kwenye kukamata bodaboda na majungu ya mama lishe, sizan kama kunakikosi kingine cha mambo ya ghafla....
Mkuu nyie msiolijua jeshi letu ndo mnaweza kutumika kirahisi kama mamluki.
Siyr tunsligahamu na kulienzi hstuna haja kutsmbs.
Tatizo langu mimi ni hizi challenges za mordern type of warfare, terrorism.
Naamini Jw pamoja na vyombo vingine wanaweza kabisa ku contain tatizo hilo.
Kwani Tanzania kuna polisi walio elite?
Kiuhalisia Polisi au Jw wanauwezo mzuri tu wa kupambana na magaidi. Kwani gaidi ni nani? Ni mtu yoyote anaetumia weakness ya security ya sehemu husika ili kusababisha maafa. Ndio maana gaidi kabla hajashambulia lazima ajipenyeze hadi afike kwenye target. Sasa akishaona target yake ipo vizuri hapo atashambulia tu nakuleta maafa makubwa kama ya garisa. Hapo hata ukiwa na kikosi mahiri vipi hutaweza kuzuia maafa. Kwanza magaidi hawatekelezi ugaidi kwa jeshi kubwa.. Ni watu wachache.. Hata mmoja anaweza kuleta maafa. So serikali haiihitaji majeshi makubwa na makomandoo. Serikalo inahitaji kufanyia kazi taarifa za kiintelegensia ili kuzua ugaidi na sio kusubiri ugaidi utokee ndio ukapambane nao. Magaidi wote wanajua baada ya kushambulia lazima atauwawa pia so haisaidii lolote kama magaidi wa tano wataua watu mia mbili halafu wakaja makomandoo wakaua hao magaidi. Hapo ni kuwa magaidi wamefanikiwa. Tunataka serikali iwekeze katika intelegensia ya kisasa na kuwapa elimu raia namna ya kumtambua gaidi na kutoa taarifa mapema kabla hajaleta maafa.
Ni ukweli usiopingika kuwa Jeshi letu la JWTZ lina ma-commando wazuri, na matokeo ya kujinoa kwao yameonekana hivi majuzi Comoro na hata DRC-Congo.
Lakini matukio ya hivi majuzi huko Garissa yamefanya nijiulize vizuri pointed questions.
Kenya kweli wana vifaa vizuri tu kama sisi.
Lakini response kwa shambulio la majahili ya AlShabab imewachukua muda mrefu sana kufika eneo la tukio na hata kuwa na tactical initiative ya situation yenyewe, yaaani kuiweka sehemu ya mapambano chini ya control hata kama majahili hawajauliwa/kutekwa.
Najua commando anafanya kazi yake vizuri eneo la vita, na yeye kazi yake kubwa ni kuteka/kuconfuse adui ili hatimae regular forces walidhibiti eneo.
Lanini hapa tuna eneo la mapambano NDANI ya eneo ambalo ni huru, yaani walengwa wa kutekwa au kuuliwa na maadui ndio hao tunaotakiwa kuwaokoa, ikiwa ni pamoja na kuua/kudhibiti majahili kama Al Shabab.
Na hilo ndo lengo la swali langu.
Marekani wana SWAT, India wana Anti -Terrorist Squad, New Zealand wana STG-Special Tactics Group, Pakistan wana RATS-Rangers AntiTerror Squad.
Hili si swala la Kova , ni kubwa zaidi.
Mh naona askari wote tz waba vitambi wataweza kweli mziki wa Ashabab tusijidanganye
Uko sahihi tangu 1941 Uingereza ilipoona umuhimu wa kuwa na vikosi maalumu (SAS -21-22-23 rgmnts) nchi
nyingi zilifuata nyayo na kuanzisha vikosi kama hivyo. "Commonwealth countries" zilifuata mkondo huo na kuanzisha vikosi maalum na wanaohitimu (mafunzo magumu kabisa) wanaenguliwa vikosi vyao vya awali na kutengeneza "vikosi maalum" : (sio public domain) kwa mtindo watakaoona unafaa katika nchi husika. . , .
Habari kama hii sio rahisi kuja hapa Jf for public consumption. . . . . . .
Uko sahihi tangu 1941 Uingereza ilipoona umuhimu wa kuwa na vikosi maalumu (SAS -21-22-23 rgmnts) nchi
nyingi zilifuata nyayo na kuanzisha vikosi kama hivyo. "Commonwealth countries" zilifuata mkondo huo na kuanzisha vikosi maalum na wanaohitimu (mafunzo magumu kabisa) wanaenguliwa vikosi vyao vya awali na kutengeneza "vikosi maalum" : (sio public domain) kwa mtindo watakaoona unafaa katika nchi husika. . , .
Habari kama hii sio rahisi kuja hapa Jf for public consumption. . . . . . .
Njia ya haraka sana, ya kuwa attack MAGAIDI LIKE AL- SHABAB AMBAO HUPENDA KUVAMILA MAJENGO AU VYUO AU MALLS kubwa, ni kuwawahi kwa mabomu ya machozi, iwe haraka sana, isizidi dak 30 au 1 hr, anti- terror squad forces wawe pale....ni kuwavurumisha na mabomu ya machozi watakosa kupumua na kuona vizuri, hapo hapo anti-terror commandos wanaingia na miwani maalum na kuwaanza kuwapiga kama kuku...!!!
Hii ndio njia pekee ya kwanza na haraka ya kuokoa mateka...kumbuka inatakiwa kuokoa mateka na kuwaua magaidi..., ila mabomu ya machozi yapigwe mengi kwa
haraka haraka ndani ya jengo au ktk madirisha au entries la jengo...kisha makomandoo wanamove ndani haraka in style....
Kwa wastani jeshi kupigiwa king'ora kupeana taarifa na kutoa amri toka juu 2hours, kupiga gwaride 30mins, foleni njiani 3 to 4 hours, kupata ramani ya eneo 45mins, kujipanga na kuzunguka site 1 hour, actual site clearence 3 hours kutegemeana na ukubwa wa eneo.
naomba usidanganyike kabisa kwamba eti una makomandoo wazuri. Wako wapi? Ni ile ile hadithi ya polisi wetu na hata hao wa huko Kenya. Wanahangaika kutisha raia kwa kuwa wana mikanda ya chuma na bunduki, lakini subiri wakutane na Al Shabaab, weeee! Hapo ndo utajua kwamba ni wadhaifu. Hawana lolote.
utakuwaje komando wa maana wakati unakula ugali na nyama kila siku na kuongeza maharage. Bahati mbaya utotoni makuzi ndo hayo, unaishia kukomaa miguu na fuvu la kichwa tu! Brain hoi!