Hellow!
Hasira inaruhusiwa, ila hasira lazima iwe na limit, usikasirike Hadi kuwa wendawazimu.
Tatizo lililopo nchini petu ni la kimfumo,
Kwamba katiba tuliyoitengeneza kwa Nia njema kumpa kiongozi Mkuu mamlaka makubwa Ili kutenda haki na Majukumu yake bila kusumbuliwa, mwanya huo ndio unatumika vibaya,
Kwamba wanatumia mamlaka hayo na polisi na wana chama wanajikuta Katika mfumo mbaya wa kuumiza watu wasio na hatia baada ya kushindwa hoja.
Polisi ndio ndugu na jamaa zetu, ni watanzania wenzetu, Tena vijana hawa walipokuwa mtaani bila kazi, zilipotoka post za polisi, tuliwaombea Ili waeze kujitegemea wapatapo ajira.
CCM haina tatizo, ni chama tu, na kinaweza futwa muda wowote kisiwepo na kusahaulika.
Wanaccm pia ni watu kama Sisi tu, ni ndugu zetu, tena wengine ni family members, watu hawa hawana shida, shida ipo Katika mfumo wa chama uliovurugwa kwa rushwa na UOVU wakajikuta Katika upande mbaya.
SOLUTION.
1. Tushughulike na polisi kimfumo ,tusihangaike na watu mapolisi, hawana shida yoyote, Polisi ni sawa tu na remote control, aliyeshika remote ndio huamua channel ipi ya kutizamwa na ipi ya kuacha. Tuhangaike na mshika remote.
Huwa nakaa nawaza, Nina mdogo wangu wa mwishoni huko, very humble, ni polisi mwenye Cheo, sasa kuna muda huwa nawaza mtu yule niliyemlea na kumfunza mema kama kaka mkubwa, kuna namna anatumika kimfumo kuumiza watu, hili jambo huniumiza sana.
2. Tusiwachukie watu wa ccm hawana shida, tuchukie mfumo mbaya ndani ya ccm na tuuondoe bila kuwaumiza wana ccm!
3. Wananchi ni bosses, polisi ni walinzi wa wananchi. A boss (Mwananchi) habebi silaha Bali mlinzi( polisi) hubeba silaha kumlinda raia/ mwananchi . Tunatakiwa kutumia akili kubwa kuhakikisha mlinzi anatumia silaha na Sheria sawa sawa,asitumie silaha vibaya dhidi yetu.
CONCLUSION.
Hizi ni nyakati za mwisho za uhai wa chama Cha kijani, Ni sawa tu na mfa maji, anapotaka kufa, huwa anajaribu kushika chochote Ili kujiokoa, kuna wakati hajaribu kushika mawimbi akidhani yaweza muokoa kumbe wapi!
Tuuondoe hofu, tuwe wavumilivu, tusikasirike kama wao tukaonekana sawa nao.
Tuendelee kupaza sauti lakini tusichukue silaha yoyote mikononi mwetu.
We are the the bosses 🔥💪
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.
Karibuni 🙏