- Thread starter
- #21
Kimfumo viongozi wa juu wastaafu wamepewa nguvu kwa Nia njema ya kushauri na kuhakikisha panakuwa na checks and balance.Hawa ndio sehemu ya tatizo..kuwa usalama si kwamba una akili au uwezo kuzidi wengine, lkn zipo sheria na miongozo ya kazi zao, haiwezekani mwanausalama ukawa royal kwa mstaafu hata km alikusaidia kuwa hapo..fanya kazi yako inavyopaswa muda ukifika achia wengine..huwezi kuwa unatumwa kufanya vitendo kuumiza binadamu wenzio bila kujali na wewe una familia, inaweza kukurudia pia..! hawa hawana msaada wowote!
Tatizo linakuja pale wanapotumia kuweka na kutanguliza madlahi binafsi na kuacha maslah mapana ya nchi.
Tutafika tu.