Tumechonga kinyago, tumekipa uhai, kimegeuka kuwa jitu kubwa linalojharibu kututisha Sisi wenyewe!Mfumo = Dola = CCM. Unachomokea wapi? Nani aliuweka huo mfumo na nani wakuuvunja huo mfumo?
Naungana na wewe kwenye hili.Hizi ni nyakati za mwisho za uhai wa chama Cha kijani, Ni sawa tu na mfa maji, anapotaka kufa, huwa anajaribu kushika chochote Ili kujiokoa, kuna wakati hajaribu kushika mawimbi akidhani yaweza muokoa kumbe wapi!
Kwenye maelezo #1 umeweka vizuri, hakuna haja kuwalaumu polisi au hata ccm..wao ni wahanga pia wa maamuzi na vitendo vya kikundi/genge la watu wachache sana, na hivyo attention kubwa inapaswa iwe kwenye hiki kikundi..ndani yake kikundi hiki wamo viongozi wastaafu ambao licha ya kustaafu bado wanaongoza kwa remote kupitia watu ndani ya kikundi hiki ambao kupitia sheria walizotunga na utajiri walio nao imewapa nguvu ya kupanga na kufanya maamuzi vile wanavyotaka!Tumechonga kinyago, tumekipa uhai, kimegeuka kuwa jitu kubwa linalojharibu kututisha Sisi wenyewe!
Je, mfinyanzi atashindana na chungu alichokifinyanga?
Tutumie tu akili kumalizana na tatizo hili.
Huyo mtu ndani ya ccm na mfumo yupo, Tena SI mmoja.Kwenye maelezo #1 umeweka vizuri, hakuna haja kuwalaumu polisi au hata ccm..wao ni wahanga pia wa maamuzi na vitendo vya kikundi/genge la watu wachache sana, na hivyo attention kubwa inapaswa iwe kwenye hiki kikundi..ndani yake kikundi hiki wamo viongozi wastaafu ambao licha ya kustaafu bado wanaongoza kwa remote kupitia watu ndani ya kikundi hiki ambao kupitia sheria walizotunga na utajiri walio nao imewapa nguvu ya kupanga na kufanya maamuzi vile wanavyotaka!
Hata hivyo, mtu mmoja tu anaweza kuvunja na kusambaratisha hiki kikundi..mara zote natoa mfano wa nchi ya botswana, walikuwa na scenario km hii iliyopo tanzania..alipoingia Rais mstaafu Erick Masisi ambae walidhani ni mwenzao sababu kabla ya kuwa Rais alikuwa makamu wa Rais wakat wa Rais Khama Junior..lakini kumbe Masisi hakuwa anapendezwa na vile nchi inaendeshwa..watu kuishi kwa hofu, katiba inavunjwa kila siku, wastaafu kuwa na nguvu zaidi hata ya rais anayeongoza nk..alipoingia tu kabla hata ya uchaguzi wa 2019 alihakikisha anabadilisha na kuondoa kabisa mfumo ulioidumaza nchi..nini alifanya, alisambaratisha kikundi kilichokuwa na nguvu ya wastaafu chote na kuweka watu wapya wote na hasa baraza la usalama la taifa, viongozi wote wa vyombo vya usalama waliondolewa na kufanyiwa ukaguzi juu ya maamuzi yao na baadhi yao kufunguliwa kesi dhidi ya vitendo vilivyohusisha maamuzi yao..akiwemo rais mstaafu Khama Junior..huo ukawa mwisho wa wakoloni weusi botswana..
Uchaguzi wa 2024 ulikuwa huru na haki chini ya Rais Masisi aliyekuwa anatetea nafasi yake, alielekeza vyombo vyote vya usalama wasijaribu kuingilia uchaguzi au hata kuiba kura! na walikaa mbali..kwa mara ya kwanza chama tawala BDP, chama kikongwe km CCM kikashindwa uchaguzi na Rais Masisi alikuwa mtu wa kwanza kuwapongeza wapinzani walioshinda uchaguzi kabla hata ya matokeo kutangazwa na tume ya uchaguzi..kwa maana nyingine Masisi alitaka kumaliza utawala haramu wa kikundi kidogo kutawala botswana.
Sijui kwa hali ya tanzania km anaweza patikana mtu km Masisi ndani ya CCM au inahitajika nguvu ya pamoja kukabiliana na hiki kikundi cha watu wachache wanaotawala nchi hii vile wanataka..sote watanzania tujiulize wakiwemo wana CCM, jibu liko wapi..?
Inawezekana, lakini yule wa awamu ya 5 ni km Mungu alimpa nafasi ya kulitoa taifa mikononi mwa kikundi hiki, bahati mbaya hakuwa anafahamu vyema hii assignment..wakamzunguka bila yeye kufahamu hali ikawa km ilivyotokea..kwa sasa humo ccm sidhani..angalia walichopitisha mwezi februari ni kitu haramu kabisa lkn husikii sauti kuhoji, sasa hao unaosema si mmoja unawatambuaje km wapo?Huyo mtu ndani ya ccm na mfumo yupo, Tena SI mmoja.
Ni suala la muda tu.
Kabla ya kuingia upolisi wametokea kwa family zetu,Sijui kuhusu CCM ila Polisi wana shida.
Na iwe hivyo.Mdau TumainiEl aliwakuonya kwamba hapa TZ system ya usalama ipo kwenye blocks akimaanisha matawi,Kuna usalama wanampigania mama apite,Kuna wengine wanataka katiba mpya wapo upande wa Lisu,Kuna wengine wanafanyia kazi vyama vidogo vya upinzani!kwahiyo tunakosa uwajibakaji wa pamoja kwenye maamuzi mtambuka na ndio maana main haya yanatokea coz wamegawanyika!!
Kipindi Cha jpm hivyo hivyo Hali ilikua hivi!!
Lazima usalama wawe wamoja kwenye mstakabali wa taifa yaani uwajibikaji wa pamoja kwenye mambo mtambuka bila kujali maslahi ya mtu,lakini Hali ikiendelea kama hivi lazima watatoa mhanga watu wengi sana ili kuchafuana na kutafuta legitimacy ya kuwaondoa wenyeviti kitini!!
Mfano kipindi Cha uchaguzi wa mwenyekiti was chadema system iligawanyika team mbowe+mama and co vs team lisu + mfumo and co!!
Mfumo na Lisu wakashinda ndio maana team mama wamepanic na sasa wapo kama mbwa mwenyekichaa wanakamata yeyote na kupoteza yeyote Kwa kushuku ama kweli hakuna creativity tena wapo kwenye panic mode Kwa Sasa ndio maana tunapaswa tuwe makini sana!!
Ndio inaandikwa sasa kwa damu na jasho za watanzania wanaopaza sauti za haki kwa Amani kabisa.Katiba haikuwahi kuwepo hapo kwa Nia njema .
Never.
Hawa ndio sehemu ya tatizo..kuwa usalama si kwamba una akili au uwezo kuzidi wengine, lkn zipo sheria na miongozo ya kazi zao, haiwezekani mwanausalama ukawa royal kwa mstaafu hata km alikusaidia kuwa hapo..fanya kazi yako inavyopaswa muda ukifika achia wengine..huwezi kuwa unatumwa kufanya vitendo kuumiza binadamu wenzio bila kujali na wewe una familia, inaweza kukurudia pia..! hawa hawana msaada wowote, wala si wa kutegemea kabisa! na iko dhahiri wengi wao wana hofu juu ya matendo yao pindi kukitokea mabadiliko ya kiuongozi kwa nchi..na hivyo wanatumia nguvu nyingi ili ccm waendelee kuongoza hata km uwezo wa ccm kuongoza ulishafikia kikomo hawawezi tena kufanya zaidi ya kile wamekuwa wanafanya ambacho kwa sasa kinashindwa kukidhi mahitaji ya wakati kwa nchi!Mdau TumainiEl aliwakuonya kwamba hapa TZ system ya usalama ipo kwenye blocks akimaanisha matawi,Kuna usalama wanampigania mama apite,Kuna wengine wanataka katiba mpya wapo upande wa Lisu,Kuna wengine wanafanyia kazi vyama vidogo vya upinzani!kwahiyo tunakosa uwajibakaji wa pamoja kwenye maamuzi mtambuka na ndio maana main haya yanatokea coz wamegawanyika!!
Kipindi Cha jpm hivyo hivyo Hali ilikua hivi!!
Lazima usalama wawe wamoja kwenye mstakabali wa taifa yaani uwajibikaji wa pamoja kwenye mambo mtambuka bila kujali maslahi ya mtu,lakini Hali ikiendelea kama hivi lazima watatoa mhanga watu wengi sana ili kuchafuana na kutafuta legitimacy ya kuwaondoa wenyeviti kitini!!
Mfano kipindi Cha uchaguzi wa mwenyekiti was chadema system iligawanyika team mbowe+mama and co vs team lisu + mfumo and co!!
Mfumo na Lisu wakashinda ndio maana team mama wamepanic na sasa wapo kama mbwa mwenyekichaa wanakamata yeyote na kupoteza yeyote Kwa kushuku ama kweli hakuna creativity tena wapo kwenye panic mode Kwa Sasa ndio maana tunapaswa tuwe makini sana!!