Kimfumo viongozi wa juu wastaafu wamepewa nguvu kwa Nia njema ya kushauri na kuhakikisha panakuwa na checks and balance.Hawa ndio sehemu ya tatizo..kuwa usalama si kwamba una akili au uwezo kuzidi wengine, lkn zipo sheria na miongozo ya kazi zao, haiwezekani mwanausalama ukawa royal kwa mstaafu hata km alikusaidia kuwa hapo..fanya kazi yako inavyopaswa muda ukifika achia wengine..huwezi kuwa unatumwa kufanya vitendo kuumiza binadamu wenzio bila kujali na wewe una familia, inaweza kukurudia pia..! hawa hawana msaada wowote!
Mstaafu mstaafu, mstaafu, mstaafu, mstaafu, mstaafu 🤔Gangster Republic
Mstaafu kustaafishwa Bado wawili mmoja tayari "JAL 1 is done 2 and 3 are next!!by Tumia Akili!Hawa ndio sehemu ya tatizo..kuwa usalama si kwamba una akili au uwezo kuzidi wengine, lkn zipo sheria na miongozo ya kazi zao, haiwezekani mwanausalama ukawa royal kwa mstaafu hata km alikusaidia kuwa hapo..fanya kazi yako inavyopaswa muda ukifika achia wengine..huwezi kuwa unatumwa kufanya vitendo kuumiza binadamu wenzio bila kujali na wewe una familia, inaweza kukurudia pia..! hawa hawana msaada wowote!
Ndilo Hilo tunalohitajika kulitatua bila kuwaconfront direct mmapolisi au wana ccm!Tatizo katiba, ndio mfumo wenyewe! Lishasemwa sana
Binadamu hajawahi kuwa na nia njema, hiyo nia njema lazima iwekewe sheria na mipaka..mtu akishamaliza term yake kuongoza, yeye na serikali ndio basi tena..yuko huru kufanya mambo yake mengine kabisa kwa kufuata sheria..hakuna sababu ya kurudi rudi km vile bado angali anaongoza.Kimfumo viongozi wa juu wastaafu wamepewa nguvu kwa Nia njema ya kushauri na kuhakikisha panakuwa na checks and balance.
Tatizo linakuja pale wanapotumia kuweka na kutanguliza madlahi binafsi na kuacha maslah mapana ya nchi.
Tutafika tu.
Katiba nzuri inajisimamia yenyewe, wastaafu wakiondoka wanaenda kupumzika hamna haja ya busara zao tena, busara zinakuwa kwenye katiba hamna hisia wala ushauri wa wastaafu ambao kama ulivyosema unakua subjective ukizingatia maslahi yao! Haya yanatakiwa kuisha na katiba isimame bila hisani ya mtu, sio rais wala mwenyekiti wa chama chochoteKimfumo viongozi wa juu wastaafu wamepewa nguvu kwa Nia njema ya kushauri na kuhakikisha panakuwa na checks and balance.
Tatizo linakuja pale wanapotumia kuweka na kutanguliza madlahi binafsi na kuacha maslah mapana ya nchi.
Tutafika tu.
Mtu akishastaafu hana tena ile nguvu aliyokuwa nayo wakati akiwa kiongozi..tatizo liko kwa wanaofanywa vitendea kazi vya wastaafu, binadamu mwenye akili hawezi kuwa mtumwa wa hisani siku zote hata km ilikuwepo..ina ukomo!Mstaafu kustaafishwa Bado wawili mmoja tayari "JAL 1 is done 2 and 3 are next!!by Tumia Akili!
Nadhani hapo mbele ndipo tunapoendea coz kumechangamka sana sasa!!
Umemaliza..!Katiba nzuri inajisimamia yenyewe, wastaafu wakiondoka wanaenda kupumzika hamna haja ya busara zao tena, busara zinakuwa kwenye katiba hamna hisia wala ushauri wa wastaafu ambao kama ulivyosema unakua subjective ukizingatia maslahi yao! Haya yanatakiwa kuisha na katiba isimame bila hisani ya mtu, sio rais wala mwenyekiti wa chama chochote
Well said hakuna cha busara inatakiwa katibaKatiba nzuri inajisimamia yenyewe, wastaafu wakiondoka wanaenda kupumzika hamna haja ya busara zao tena, busara zinakuwa kwenye katiba hamna hisia wala ushauri wa wastaafu ambao kama ulivyosema unakua subjective ukizingatia maslahi yao! Haya yanatakiwa kuisha na katiba isimame bila hisani ya mtu, sio rais wala mwenyekiti wa chama chochote
RC anauhakika wa kuingiza 30M kwa wezi nje na rushwa kwa posho za vikao na safariChalamilai alipotolewa urc, alidai Pana umuhumu wa katiba mpya,
Aliporudishwa kuwa RC akadai hakuna haja ya maandamano ya katiba mpya.
Huu ni ukweli mchunguKatiba nzuri inajisimamia yenyewe, wastaafu wakiondoka wanaenda kupumzika hamna haja ya busara zao tena, busara zinakuwa kwenye katiba hamna hisia wala ushauri wa wastaafu ambao kama ulivyosema unakua subjective ukizingatia maslahi yao! Haya yanatakiwa kuisha na katiba isimame bila hisani ya mtu, sio rais wala mwenyekiti wa chama chochote
Ndio maana nasema tatizo ni mfumo SI Hawa waganga njaa.RC anauhakika wa kuingiza 30M kwa wezi nje na rushwa kwa posho za vikao na safari
Mfumo umeoza kuanzia juu mkuuNdio maana nasema tatizo ni mfumo SI Hawa waganga njaa.
Ndio tunaubadili kwa damu za wazalendo,Mfumo umeoza kuanzia juu mkuu
Asee Magu akasome kwa huyu maza, Magu hakuwa katili kama huyu bibiNdio tunaubadili kwa damu za wazalendo,
Damu ya Mdude aliyeumizwa ina mchango Mkuu Katika kupata mageuzi ya kimfumo tuyatakayo.
Hata bibi hakuwa katili before,Asee Magu akasome kwa huyu maza, Magu hakuwa katili kama huyu bibi
SureHata bibi hakuwa katili before,
Mfumo ovu umemlazimisha awe katili Ili kutawala.