UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Hili swali waachie huko vijiweni, great thinkers kama wewe hupaswi kuuliza swali kama hilo!Yaan umeandika Nini Sasa hapo.
Purchasing power inakuwa determined na Nini mkuu
Lengo ndo hilo mkuu lakini sijui uelewa wa watu ukoje.Kwani mkuu, lengo la mjadala wa kitaifa ni nini kwa ufahamu wako ?
Si ni kujua changamoto zilizopo na kuzitafutia namna bora ya kuziondoa ili mfanikishe jambo lenu kama taifa ?
Kama shida ni bei, tutajua tufanyeje ili kupunguza hiyo bei ili kila mmoja aweze kumudu bei. Kama changamoto ni usambazaji (coverage), kama taifa tujue tunafanyaje kulitatua.
Ni kwanini mnataka kulifanya hili suala lionekane kama haliwezekani kabisa ?
Ni kweli. Ameonyesha jinsi maisha mazuri aliokulia yalivyomuathiri. Hajui hali halisi ya Watanzania. Yaani mtu hana uhakika wa chakula na malazi, halafu unajifanya kuhamasisha kutumia gesi? Ni kichekesho. Tena hamasa ya domo, sio ya kiuchumi.Kwamba asilimia 80 ya watanzania wanaoishi maisha ya kubangaiza waweze kupikia gas?
Hii ni ndoto. Yaani mtu anaishi chini ya dola moja halafu unapigia debe Taifa gas?
Huku ni kuwatukana raia masikini.
Yawezekana Serikali ikaweka ruzuku kwenye gesi, ushauona mpango mkakati wa Waziri?Kwamba asilimia 80 ya watanzania wanaoishi maisha ya kubangaiza waweze kupikia gas?
Hii ni ndoto. Yaani mtu anaishi chini ya dola moja halafu unapigia debe Taifa gas?
Huku ni kuwatukana raia masikini.
Yaani ni vichekesho tupu, huku mjini hadi wenye kazi za mishahara wanashindwa kununua gesi kwa wakati kutokana na bei kuwa juu na bajeti zao kuwa tight.....mtu wa kijijini ambaye kuipata jero tu ni mtihani ndo apate pesa ya kujaza mtungi wa gesi kweli!?Kwamba asilimia 80 ya watanzania wanaoishi maisha ya kubangaiza waweze kupikia gas?
Hii ni ndoto. Yaani mtu anaishi chini ya dola moja halafu unapigia debe Taifa gas?
Huku ni kuwatukana raia masikini.
Hivi hujaelewa hapo ni swala la gesi linafataAnamtua mama kuni kwa lipi?