Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio vijijini tu hata hapa mjini,gesi ni garama kubwa, watu wengi wanatumia gesi na mkaa,na kuni, hauwezi chemsha maharagwe kande kwa kutumia gesi lazima utumie mkaa au kuni ambavo ni bei nafuu,mkaa kopo linaanzia 1000 ambao unaweza kuchemsha maharagwe na kupikia chakula na ukatosha,nenda kwenye gesi,gesi ya 1000 haiwezi fanya hivo.Samia kama anataka kuona watu wanaachana na mkaa na kuni,washushe garama ya gesi sio maneno ya jukwaani,tokea ameshika madaraka hakuna kilichobadilika,sanasana vitu vinapanda bei,hata Wakati wa Magufuli gesi ilikuwa bei nafuu kidogo kuliko Sasahivi wakati wa Samia.Makamba anapaswa kujua:
Hakuna mtanzania asiyetaka kutumia nishati bora na nafuu....
Hakuna mtanzania asiyetaka umeme....
Shida iko hapa;
1. Gharama ya kutumia gesi kwa mtanzania anayeishi kijijini wakati mkaa upo kwa bei nafuu na kuni zinapatikana buree....
2. Mtandao wa kuipata gesi vijijini bado ni hafifu mnoo.
Kipato.Purchasing power inakuwa determined na Nini mkuu
Kijijini mbali kote huko wakati hapa dar mamia ya tani za kuni zinaingia kila siku,!Makamba anapaswa kujua:
Hakuna mtanzania asiyetaka kutumia nishati bora na nafuu....
Hakuna mtanzania asiyetaka umeme....
Shida iko hapa;
1. Gharama ya kutumia gesi kwa mtanzania anayeishi kijijini wakati mkaa upo kwa bei nafuu na kuni zinapatikana buree....
2. Mtandao wa kuipata gesi vijijini bado ni hafifu mnoo.
Kwamba asilimia 80 ya watanzania wanaoishi maisha ya kubangaiza waweze kupikia gas?
Hii ni ndoto. Yaani mtu anaishi chini ya dola moja halafu unapigia debe Taifa gas?
Huku ni kuwatukana raia masikini.
Siyo hafifu Ni Bei ndio shida elewa Hilo ingekuta kujaza Hilo kilo 16 Ni elf 30 kila mtu angepambna awe nayo na Kish mtumiz ya mkaa ungefunga SanaaMakamba anapaswa kujua:
Hakuna mtanzania asiyetaka kutumia nishati bora na nafuu....
Hakuna mtanzania asiyetaka umeme....
Shida iko hapa;
1. Gharama ya kutumia gesi kwa mtanzania anayeishi kijijini wakati mkaa upo kwa bei nafuu na kuni zinapatikana buree....
2. Mtandao wa kuipata gesi vijijini bado ni hafifu mnoo.
Hayo maneno tu hata mwaka 2000 tuliambiwa ndio utakuwa mwisho wadunia lakini bado tunaishi,kuna watu wameishi katika jangwa na maisha yao safi tu mpaka Sasahivi wanatoa hata misaada kwa serikali yako,Samia ahache maneno ya jukwaani aje na majibu yeye ndie rais,kwanza tangia hawe rais ndio vitu vimepanda maladufu ikiwemo hiyo gesi,sasa tusipo tumia mkaa na kuni tutatumia nini.Ni mjiga tu anayeweza kuamini maneno ya jukwaani ya Samia tokea ameshika madaraka hata umeme tulikuwa tunaunganishawa kwa sh 27,000/alifuta eti Serikali yake haiwezi pata ela hizo,leo anasema watu waachane na kuni waweza kutumia umeme na gesi.Upuuzi mtupu.Amelazimisha ara? Toa mawazo yako acha lawama. Hujui mazingira mpaka 2050 tunaweza kuwa jangwa.
Kwahiyo mku, wewe unaamini kwamba uharibifu wa mazingira ni propaganda (yaani hakuna kitu kama hicho kiuhalisia) ?Hayo maneno tu hata mwaka 2000 tuliambiwa ndio utakuwa mwisho wadunia lakini bado tunaishi,kuna watu wameishi katika jangwa na maisha yao safi tu mpaka Sasahivi wanatoa hata misaada kwa serikali yako,Samia ahache maneno ya jukwaani aje na majibu yeye ndie rais,kwanza tangia hawe rais ndio vitu vimepanda maladufu ikiwemo hiyo gesi,sasa tusipo tumia mkaa na kuni tutatumia nini.Ni mjiga tu anayeweza kuamini maneno ya jukwaani ya Samia tokea ameshika madaraka hata umeme tulikuwa tunaunganishawa kwa sh 27,000/alifuta eti Serikali yake haiwezi pata ela hizo,leo anasema watu waachane na kuni waweza kutumia umeme na gesi.Upuuzi mtupu.
Nimeshitushwa sana na hizi nadharia za kiwango cha chininkupita kiasi.Unafikir kuna mtu anapenda kutoka hayo makamasi na machozi wakati wa kupika?Kwamba asilimia 80 ya watanzania wanaoishi maisha ya kubangaiza waweze kupikia gas?
Hii ni ndoto. Yaani mtu anaishi chini ya dola moja halafu unapigia debe Taifa gas?
Huku ni kuwatukana raia masikini.
Kwani mkuu, lengo la mjadala wa kitaifa ni nini kwa ufahamu wako ?Sio vijijini tu hata hapa mjini,gesi ni garama kubwa, watu wengi wanatumia gesi na mkaa,na kuni, hauwezi chemsha maharagwe kande kwa kutumia gesi lazima utumie mkaa au kuni ambavo ni bei nafuu,mkaa kopo linaanzia 1000 ambao unaweza kuchemsha maharagwe na kupikia chakula na ukatosha,nenda kwenye gesi,gesi ya 1000 haiwezi fanya hivo.Samia kama anataka kuona watu wanaachana na mkaa na kuni,washushe garama ya gesi sio maneno ya jukwaani,tokea ameshika madaraka hakuna kilichobadilika,sanasana vitu vinapanda bei,hata Wakati wa Magufuli gesi ilikuwa bei nafuu kidogo kuliko Sasahivi wakati wa Samia.
Huo uharibifu ungelianzia huko ulaya ambako wanaviwanda kibao na hawana heckita hata moja ya miti, Tanzania tuna kama eckta ka 38 za misitu robo ya nchi yote ni misitu (miti) siku hizi hata ukienda vijijini ambapo akukuwa na miti watu wamepanda miti, mfano mkoa wa Kagera kila wilaya kila kijiji kuna mashamba ya miti,kitu ambacho sisi tuliozaliwa huko akikuwepo na mvua zilikuwa zikinyesha majira yote, Sasahivi miti ipo na mvua tatizo.Kwahiyo mku, wewe unaamini kwamba uharibifu wa mazingira ni propaganda (yaani hakuna kitu kama hicho kiuhalisia) ?
Nimelionea huruma sana hili taifa.
Mmmmh, sawa mkuu.Huo uharibifu ungelianzia huko ulaya ambako wanaviwanda kibao na hawana heckita hata moja ya miti, Tanzania tuna kama eckta ka 38 za misitu robo ya nchi yote ni misitu (miti) siku hizi hata ukienda vijijini ambapo akukuwa na miti watu wamepanda miti, mfano mkoa wa Kagera kila wilaya kila kijiji kuna mashamba ya miti,kitu ambacho sisi tuliozaliwa huko akikuwepo na mvua zilikuwa zikinyesha majira yote, Sasahivi miti ipo na mvua tatizo.
Hao wakubwa wanajua tatizo linaanzia wapi,wanakuja kutafuta sifa za majukwaani tu, serikali inawatafiti kibao,tena wengine wako Ikuru kutoa ushauli kwa Samia,Samia angelikuwa muungwana angelikuja na suruhisho sio blablaa hizi,uwezi pandisha bei ya umeme na gesi, alafu unakuja waambia watanganyika kuwa waachane na kuni na mkaa, wakati mshahara tu alipandisha elfu 20,000/na matumizi yamepanda 50% na zaidi,kwanza ashushe bei ya umeme na gesi tuanzie hapo kwanza,la sivyo ni ngonjera tu na sifa za majukwaani tu.Kwani mkuu, lengo la mjadala wa kitaifa ni nini kwa ufahamu wako ?
Si ni kujua changamoto zilizopo na kuzitafutia namna bora ya kuziondoa ili mfanikishe jambo lenu kama taifa ?
Kama shida ni bei, tutajua tufanyeje ili kupunguza hiyo bei ili kila mmoja aweze kumudu bei. Kama changamoto ni usambazaji (coverage), kama taifa tujue tunafanyaje kulitatua.
Ni kwanini mnataka kulifanya hili suala lionekane kama haliwezekani kabisa ?