Tunachimba visima vya maji popote Tanzania


EDON Generator
6KVA
Mwendo wa Singida hiyo.
Thanks for Purchasing.
 
Nataka kujua hivi unaweza weka pump gani ili kuongeza presha ya maji yanayotoka kwenye solar heater?
Na je heating elements zipi ni nzuri na zinapatikana wapi? Maana kwa hali ya hewa hii sometimes maji sio ya moto sana.
Nataka kujua hivi unaweza weka pump gani ili kuongeza presha ya maji yanayotoka kwenye solar heater?
Na je heating elements zipi ni nzuri na zinapatikana wapi? Maana kwa hali ya hewa hii sometimes maji sio ya moto sana
Kwa kawaida hizi zinakuwa na mfumo wa aina mbili wa high pressure na low pressure, sasa inawezekana wakati unafunga fundi wako ajakuuliza unahitaji mfumo upi, akakufungia tu basi, sasa hapo labda ubadilishe huo mfumo wote, uweke mfumo wa high pressure,
 
Hongera saaan akwa majibu ya ukweli. Wachimbaji huwa wanadanganya hapo ....umesema kweli kabisa na Mungu akubariki
 


Horse power 50, kwa ajili ya miradi ya maji.
 
Nataka pump ya surface kwa ajili ya kuongeza presure ya maji ndani kutoka kwenye tenk 5000lts kusambaza ndani ground and first floor
 
Hii Pump ya Honda 500Lt/Min inatumia Mafuta Lita ngapi nikiiwasha Masaa 12 Mkuu?

Na je inamudu kuwashwa kwa masaa mengi ama nitalazimika kuwa naipumzisha?
 
Hii Pump ya Honda 500Lt/Min inatumia Mafuta Lita ngapi nikiiwasha Masaa 12 Mkuu?

Na je inamudu kuwashwa kwa masaa mengi ama nitalazimika kuwa naipumzisha?
Inaweza kufanya kazi kwa saa 8 mfululizo na ukapumzisha nusu saa kisha ukawasha tena saa 8.
Kila lita moja inatumika kwa saa 2.
Nafikili nimekujibu vyema.
Karibu .
 
Zile pump(engine) za kichina kinazotumia diesel unazo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…