Tunachimba visima vya maji popote Tanzania

Tunachimba visima vya maji popote Tanzania

Hizo Pump Za Picha Ya Kushoto Zinaitwaje !?
 
Pump za solar ndio zikojje? Hizi nimpumpnza kuongeza presha ya maji yanayotoka kwenye bomba?
 
Mkuu ebu nipe details za kutosha kuhusu solar pump ya hp 1.5

1.umbali inaoweza kufanya kusukuma maji
2.ukubwa wa pipe zake.
3.lita ngapi per hour
4.na mwisho full set price ni shilingi ngapi nikimaanisha pump,pipe,solar na vifaa vyote. Nahitaji sana hii nipe majibu tafadhali.
 
Pump ya bei ya chini inayotumia umeme wa jua ni shilling ngapi?
Kwa matumizi gani sasa mkuu, ? submersible ya mita 70 ndio minimum na bei yake ni 1.8 M
Kwa bwawa ipo ndogo kwa 850k
Kwa surface pump ndogo ni 1.7M
Hizi ni complete set pump na solar zake
 
Mkuu ebu nipe details za kutosha kuhusu solar pump ya hp 1.5

1.umbali inaoweza kufanya kusukuma maji
2.ukubwa wa pipe zake.
3.lita ngapi per hour
4.na mwisho full set price ni shilingi ngapi nikimaanisha pump,pipe,solar na vifaa vyote. Nahitaji sana hii nipe majibu tafadhali.
Mita za kusukuma ni 160 maximum
1 inch pipe
Yield 2300l/h
Complete set ni 9.5 M
 
Kwa matumizi gani sasa mkuu, ? submersible ya mita 70 ndio minimum na bei yake ni 1.8 M
Kwa bwawa ipo ndogo kwa 850k
Kwa surface pump ndogo ni 1.7M
Hizi ni complete set pump na solar zake
Nataka kuvuta maji toka kisima chenye kina cha meta 15 kuyapeleka kwenye bwawa la samaki

Hiyo pump ya 850k itafaa?
 
Nataka kuvuta maji toka kisima chenye kina cha meta 15 kuyapeleka kwenye bwawa la samaki

Hiyo pump ya 850k itafaa?
Kisima chako ni borehole au cha mviringo? Maana kuna inatumika kwenye kisima cha mviringo kwa kuwa ina kipenyo kikubwa haiwezi ingia kwenye borehole
 
H
Pump za solar ndio zikojje? Hizi nimpumpnza kuongeza presha ya maji yanayotoka kwenye bomba?
Hizo ni pampu designated kutumia direct electric current ,ambao ndo huo unazalishwa na nishati ya jua
 
Back
Top Bottom