Tunachimba visima vya maji popote Tanzania

Hilo shamba lipo ktk muinuko namaeneo hayo hata uchimbe kisima kiangazi kinakauka.kipindi hiki hata wenyeji wanasumbuka sana kupata maji hadi wayafuate mabondeni
Majan kama bado hii shida ipo tuwasiliane kaka...nafikiri tunaweza fantastic hii sema kuna maswali mailing matatu nikuulize...0767350415
 
Pumpu hizo zipo ila sisi hatuna, ila pampu zenye uwezo huo inasemekana zinatokea Zimbabwe hapa Tanzania bado hazijapata kuuzwa, na zinatumika sana kutoa maji kwenye migodi.
zinaitwa mono pump zimbabwe, website yao ni MONO PUMP ZIMBABWE
Tanzania hakuna pump za uwezo huo? Sio kwel, zipo nyingi sana hapo unatakiwa ujue flow unayoitaka na Total head yako (kutoka mtoni mpka shambani)...kuna kampuni nyingi zina hzo pampu kama Dar huduma, Equiplus, Davis, Marry water..
 
Mkuu njoo na vielelezo hizo kampuni ulizotaja kama wanazo wasaidie watanzania hapa kwa kulete invoices za hizo pump,, watu wa migodini wapo watanunua hapa..
 
Kwa kutaja majina yao tu tayari nmeshasaidia kwa mtu anayehitaji anaweza watafuta! Ww invoice za kampuni yako mtu yoyote tu anaweza kuwa nazo?
 
Kwa sababu hizo kampuni nishazunguka kutafuta pump kwa migodini , wameshindwa kudesign pump hiyo hapo sijaenda ni hao equeplus tu ....
 
Invoice unaipata popote pale unapoenda kutaka huduma au bidhaa unawapa requirements zako kisha wanakupa proforma invoice.. Sasa hili ulijui?
 
Zipo nyingi tu mzee, niandikie Q na Head unayohitaji nkudizainie aina ya pampu na nkupa options zaid ya tano ambapo unaweza kuzipata! Distance ya mita 800 ni ndogo sanaa kwa technology ya pampu sasa ilipofkia!
Unaweza kupata submersible multistages au hata displacement ambazo znatupa umbal huo
 
Pump inayo tumia solar power inayo weza kuvuta maji umbali wa mita mia mbili mna uzaje?,ukubwa wa shamba ni heka nne
 
Invoice unaipata popote pale unapoenda kutaka huduma au bidhaa unawapa requirements zako kisha wanakupa proforma invoice.. Sasa hili ulijui?
Sasa unataka nizunguke kwa suppliers wote hao ili nipate invoice za kuja kuweka humu jf? Ndio uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo! Nmetaja majina yao wote wana website zao tena wngne mpka apps wanazo so mwenye hitaji anaweza watafuta wakamalizana.
 
Pump inayo tumia solar power inayo weza kuvuta maji umbali wa mita mia mbili mna uzaje?,ukubwa wa shamba ni heka nne
ipo hii
ipo 1.6 hp
inatoa kiasi cha maji 2300L/H
inavuta maji hadi kina cha mita 160
2,550,000/= PUMP ONLY
9,500,000/= COMPLETE SET
 
ipo hii
ipo 1.6 hp
inatoa kiasi cha maji 2300L/H
inavuta maji hadi kina cha mita 160
2,550,000/= PUMP ONLY
9,500,000/= COMPLETE SET
1.6 ni kwa maana ya mpira wake wa kuvutia maji?,hua napenda 2 au tatu.

Niko dar es salaam. Ofisini zenu wapi?
 
Back
Top Bottom