- Thread starter
- #61
sio kweli,,...ni 7.2m.
anyway kuhusu maji kuwa na chumvi waambie wananchi kuwa maji yote duniani yanatakiwa kuwa na chumvi ila chumvi isizidi uwezo wa mwanadamu kuyatumia kwa kunywa na kupikia pia.
Lakini wakumbushe pia zipo mashine au mitambo ya kupunguza chumvi zisizotakiwa kwenye maji na wataalamu wapo watawashauri baada ya hayo maji kuwa yamepimwa maabara kuona ph scale yake inasoma either acidic au alkalinity kiasi gani.
pia waambie maswali na uelewa mwingine ni juu yao kufanya research kidogo kwenye mitandao na hasa ule maarufu wa guguu... waambie wa-gugu kitu kinaitwa reverse osmosis na water desalination plants na mambo nyingine kama hizo.
USISAHAU PIA KUWAKUMBUSHA YALE MANENO YA MH. RAIS MSTAAFU KUWA WATANZANIA NI WAVIVU WA KUFIKIRI na sasahivi tumekuwa wavivu wa kujisomea ila mabingwa wa kuchati kwenye smart phones hasa mambo yasiyokuwa na tija sanaa.
waambie pia sijasema mimi....sema uliyasikia sehemu yanaongewa ndio ukayaleta hapa kutimiza wajibu na jadi yetu ya umbeya umbeya tuu.
2015....for this...for sure i dont n never will care.
asante ndugu natamani niongee zaidi ila nitatoka nnje ya thread yangu, all in all tupeane tu kazi tujenge maisha yetu na taifa.