Tunachimba visima vya maji popote Tanzania

H

Hizo ni pampu designated kutumia direct electric current ,ambao ndo huo unazalishwa na nishati ya jua
Sawa ndio nauliza ni kama hizi zingine za kusukuma maji kwa presha kubwa mutoka kwenye simtank?
 
Sawa ndio nauliza ni kama hizi zingine za kusukuma maji kwa presha kubwa mutoka kwenye simtank?
Ndio zipo aina zote, zinazotumika kwenye visima virefu, kwenye mabwawa na hizo za surface kwa kuongeza pressure kutoka kwenye tank, n.k
 
Ndio zipo aina zote, zinazotumika kwenye visima virefu, kwenye mabwawa na hizo za surface kwa kuongeza pressure kutoka kwenye tank, n.k
Ok..hizi za pressure kutoka kwenye tank bei gani hp 1? Una picha unitumie mkuu na bei zake
 
Ndogo inatoa lita 2100/saa
Kubwa inatoa lita 13000/saa
 
Ha ha ha chukua hiyo ndogo hiyo ni ya kilimo mkuu,,
 
Hii 4.7m mbona hela nyingi sana...inabadilisha maji kuwa dhahabu ama?
πŸ™‰πŸ™‰ chukua ndogo mkuu hizo wananunuaaga wakulima kwa kumwagilia mashamba yao
 
πŸ™‰πŸ™‰ chukua ndogo mkuu hizo wananunuaaga wakulima kwa kumwagilia mashamba yao
Mie nataka pump ndogo ya kusukuma maji kutoka kwenye solar heater hizi za tube
 
Sawa karibu uchuke hiyo ndogo ,hiyo bei ni kila kitu hadi kufungiwa na warrant miezi 12.
Mie nataka pump ndogo ya kusukuma maji kutoka kwenye solar heater hizi za tube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…