Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pump ipo full set kwa mita 120 unapata kwa 6.5 MMkuu kwa kisima cha urefu 120m naweza pata Pump yake? Na ni bei gani?
Nishakuja mkuu,, karibuNaomba uwakala Mkuu, nipo lake zone.. Kama upo tayari njoo PM unipatie contacts tuangalie namna ya kupanua soko wote tupate..
KaribuAhsante kwa taarifa...
Niakuuzia 600,000/= pipe ngumu class c , roller zima lina mita 150Nahitaji pipe kwa ajili yakuunganishiwa maji nyumbani inchi 1.5 meter 150 mtaniuzia kwa bei gani nipo manyoni
Hatupo huko shirima MathiasKwa hiyo redio za subb ufa hamuuzi au mnatania
Zipo desalination machine tunaweza kufunga, wengi wanashindwa tu kumudu gharama ya kununua hizi machine ila zipo na mchakato wa kununua lazima kwanza maji yako yachukuliwe sample na kupelekwa maabara kisha kiwango cha chumvi au madini mengine yasioitajika kwenye maji ikishajulikana ndipo inajulikana aina ipi ya mashine itakusaidia na gharama ndo utazijua hapo lakini kwa uzoefu wangu sijaona mashine chini ya milion saba.Maeneo ya wilaya ya Mkinga mpaka kuelekea Boda ya Horohoro maji ya visima yanachumvi kali sana
Je, mnaweza kuwa na solution ya tatizo ilo la maji kuwa na chumvi sana, maana kampuni nyingi zimeshindwa kutatua tatizo ilo
Inategema na mkoa unaotaka kisima kichimbwa, ila kwa takwimu za DSM, bei inarange 50k to 75k inategemea na kampuni na urefu wa kisima.Kwa hio hivyo visima virefu vina range kwenye sh. Ngapi, gharama yake
Wachimbaji wajanja Sana. Gharama kubwa iko kwenye hayo mabomba, yatakuleta maji kutokea ardhini!Kwa hio hivyo visima virefu vina range kwenye sh. Ngapi, gharama yake
Sasa ili kukabiliana na hili, inatakiwa kufanya vipimo kabda ujachimba ( topographical survey) hii itakusaidia kuwabana.Wachimbaji wajanja Sana. Gharama kubwa iko kwenye hayo mabomba, yatakuleta maji kutokea ardhini!
Mara nyingi hawakuambii direct. Utasikia in the middle of the project maji tuliyokosa Mita 100, tukaenda Mita 150 chini ndiyo tukapata kwamba WA maji Safi, sasa kunaongezeko la gharama kidogo!
Hapo ushapigwa na kitu Cheney ubapa!
Gharama ya topographical survey ni kiasi gani?Sasa ili kukabiliana na hili, inatakiwa kufanya vipimo kabda ujachimba ( topographical survey) hii itakusaidia kuwabana.