- Thread starter
- #241
UPDATE YA BEI
Wakuu ngoja niwaambie changamoto ya kuandika bei bidhaa hizi, Sprinklers kwanza zipo za materials mbalimbali, zipo za plastic, brass, metal, metallic, n.k
Pia pamoja na size hizo hizo kuna zingine zinasize moja ila zinaperformance tofauti.
Mfano kuna kampuni ya Rain sprinkler size ya 1.5 inch inacover mzunguko wa 60 meter, wakati kampuni nyingine inacover 50 meter ,hapa bei haiwezi kuwa sawa, kwa mfano huu tu ni bei ya kwanza ni 180k wakati bei ya pili ni 150k.
Sasa kwa uzoefu wangu huwa najua anayetaka kufunga hizi sprinkler huwa anashauliwa na fundi wake anunue size gani na materials gani, then anakuja kupata bei akiwa specific anataka nini, lakini la sivyo kama unataka bei tu inamaana bado ujafika kwenye hatua ya uhitaji wa hii inshuu,, Nafikili nitakuwa nimeeleweka hapa.
karv aveki nyamwingi orturoo Lowkii
Kwa wastani 3/4" 25k
1" 50k