Tunachoshwa sana na kupisha vingora barabarani hapa Dar Es Salaam

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2015
Posts
2,805
Reaction score
3,640
Mambo haya.yalianza kwa Magufuli lakini.sasa yamezidi. Kila mwenye kingora kwenye gari anataka akiwashe.apishwe njia.zenyewe ziko kwenye ujenzi uchwara.wa.mwendokasi.

Wananchi tuna sumbuliwa.sana.na watu wanaojifanya.wanawahi na. Kuwasha vingora.

Tunaomba kauli na.hatua.zichukuliwe haraka sana. Magari ya.dfpa nayo yanataka.yapishwe. Haya.mabasi.mapya.ya.jeshi.ndio.kabisa. juzi.basi.la.JKT football club pale kunduchi polisi wamwshuka watu wakaanza kumpiga.dereva.lori kwanini hataki.kuwapisha. hii.si.sawa.

Tunahitaji reforms za.uhakika kujua nani.ana haki gani na.kwa.mamlaka.gani kisheria
 
Hapa Dodoma ndio shida kabisa,Rais yupo Chamwino,Makamu-Mayamaya,Waziri Mkuu-Mlimwa C,Naibu Waziri Mkuu-Makulu,Spika-Mlimwa C,Mkuu wa majeshi-Ilazo,bado yule DG wa TISS-Mlimwa C.
Hao wote wanatoka kwenye hayo makazi tao tofauti tofauti kwenye Ofisi zao zilizo maeneo tofauti tofauti..yani ni kero zaidi ya kero.
 
Hii barabara ya kutoka mwenge mpaka bunju, wasingejenga mwendokasi,

Wangetandika mkeka njia nane, au hata kama ule wa mbezi kibaha.

Hao wa ving'ora wangekua wanabana kulia wanapita na ukali bila zengwe.

Hii njia inaenda makazi ya viongozi wengi sana, kwa sasa eneo la kuanzia mbezi shule yoote mpaka bunju ni makazi ya public figure wengi(hata rais wako anayo makazi binafsi kipande hiki)

Halafu niwaulize mainjinia wa mwendokasi, kulikua na ulazima upi kujenga vituo virefu kile kipande cha lugalo wakati eneo lile halina abiria wengi? Hamjifunzi kwenye vituo vyenu vingine? Likituo linakua kuuuuubwa watu wenyewe hakuna, unamkuta askari na mkatisha ticket tu.
 
Mambo haya.yalianza kwa.magufuli lakini.sasa yamezidi. Kila mwenye kingora kwenye gari anataka akiwashe.apishwe njia.zenyewe ziko kwenye ujenzi uchwara.wa.mwendokasi.
Wananchi tuna sumbuliwa.sana.na watu wanaojifanya.wanawahi na. Kuwasha vingora.

Tunaomba kauli na.hatua.zichukuliwe haraka sana. Magari ya.dfpa nayo yanataka.yapishwe. Haya.mabasi.mapya.ya.jeshi.ndio.kabisa. juzi.basi.la.JKT football club pale kunduchi polisi wamwshuka watu wakaanza kumpiga.dereva.lori kwanini hataki.kuwapisha. hii.si.sawa.

Tunahitaji reforms za.uhakika kujua nani.ana haki gani na.kwa.mamlaka.gani kisheria
Gentleman,
heshimu mamlaka za dunia, maana zimetoka kwa Mungu, nawe utabarikiwa,

usichoke 🐒
 
Ahsante
Hii barabara ya kutoka mwenge mpaka bunju, wasingejenga mwendokasi,

Wangetandika mkeka njia nane, au hata kama ule wa mbezi kibaha.

Hao wa ving'ora wangekua wanabana kulia wanapita na ukali bila zengwe.

Hii njia inaenda makazi ya viongozi wengi sana, kwa sasa eneo la kuanzia mbezi shule yoote mpaka bunju ni makazi ya public figure wengi(hata rais wako anayo makazi binafsi kipande hiki)

Halafu niwaulize mainjinia wa mwendokasi, kulikua na ulazima upi kujenga vituo virefu kile kipande cha lugalo wakati eneo lile halina abiria wengi? Hamjifunzi kwenye vituo vyenu vingine? Likituo linakua kuuuuubwa watu wenyewe hakuna, unamkuta askari na katisha ticket tu.
Ahsante MNYENZ, mkazi mwenzangu wa Jimbo la kawe
 
Nice observation
 
Gentleman,
heshimu mamlaka za dunia, maana zimetoka kwa Mungu, nawe utabarikiwa,

usichoke 🐒
Acha unafiki gentlemen ... Tuambie kwanza faida ya kujenga vituo vya mwendokasi Azania, Kwa ndevu, skanska, jkt, mbuyuni, kituo kipya,rafia,afrikana,jogoo, interchick,makonde,goig, shule, Kwa komba, bondeni, supermarket, lugalo, na mwenge..... KWA NINI MAFISADI CCM MNAJENGA LIKITUO LIKUUUUUUUUUBWA...... Halafu nyie wapuuzi mnajua ipo siku tutaparuana??? Gentlemen acheni upuuzi wezi wakubwa nyie.... Ipo siku inakuja matapeli wakubwa nyie. SHUWAINI KABISA ....
 
gentleman,
mbona weo? :pedroP:
 
Ukimwambia FISADI na jambazi kama huyu jamaa @tlaahtlaa ni kama unatwanga maji kwenye kinu ili uyajaze kwenye gunia
 
Nina hasira sana na mafisadi na wezi kama wewe.... Hivi kweli unajenga kituo Cha mamilioni halafu hata havitumiki....... Huu ni upumbu na usengerema kwamba nyie mafisadi mnadhani natujui sengerema.... Ipo siku tutatambuana wezi wakubwa nyie ... Kumanisha nini???! Shentwaipu....
naunga mkono jamii na waTanzania wote kua na hasira na ufisadi wenye uthibitisha, dhidi ya baadhi ya watumishi wa umma wabinafsi na wasio waaminifu katika kutekeleza wajibu na majukumu yao kwa niaba ya wananchi lakini wao wanafanya udanganyifu na kujinufaisha wao na familia zao. Hiyo ni mbaya sana na kwakweli ni ufujaji wa mali za umma,

hata hivyo,
ni muhimu kua utaratibu kupambana na ufisadi na mafisa yenyewe,
ni muhimu kutumia akili na sio kubwekabweka, kwasababu itakua vigumu kuyanasa.

hata hivyo,
njia ya mwanzo kuwashughulikia matapeli na vibaka wa kisiasa ni kuwakata kwenye sanduku la kura hususan kwenye uchaguzi mkuu wa october mwaka huu2025 :pulpTRAVOLTA:
 
Wakati wa Nyerere king'ora kilikuwa kimoja tu Kutoka Msasani hadi Ikulu na kurudi

Siku Hizi ving'ora vinaanzia Mbweni 😄
Hata hicho kimoja ilikuwa nadra sana kukutana nacho. Niliishi Msasani miaka hiyo sikuwahi kukutana na kingoro au kusimamishwa eti mwl Nyerere anapita
 
Hii barabara ya kutoka mwenge mpaka bunju, wasingejenga mwendokasi,

Wangetandika mkeka njia nane, au hata kama ule wa mbezi kibaha.

Hao wa ving'ora wangekua wanabana kulia wanapita na ukali bila zengwe.

Hii njia inaenda makazi ya viongozi wengi sana, kwa sasa eneo la kuanzia mbezi shule yoote mpaka bunju ni makazi ya public figure wengi(hata rais wako anayo makazi binafsi kipande hiki)

Halafu niwaulize mainjinia wa mwendokasi, kulikua na ulazima upi kujenga vituo virefu kile kipande cha lugalo wakati eneo lile halina abiria wengi? Hamjifunzi kwenye vituo vyenu vingine? Likituo linakua kuuuuubwa watu wenyewe hakuna, unamkuta askari na katisha ticket tu.
Safi kabisa, hii njia kuiwekea mwendokasi ni kuleta foleni tu, njia yenyewe magari kama yote, hawajifunzi barabara ya Kimara to Kibaha, hakuna cha mwendokasi, lkn huwezi kuona hata tone la abiria wanasubiri, barabara pana, vyombo vinatembea n.k
 
Back
Top Bottom