Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Ukute raisi anatoka mtakavyo kula block mpk ukome aseeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikadhani mimi tuu Fikra zangu kwenye hayo mavituo mrefu kumbe ni wengi...Acha unafiki gentlemen ... Tuambie kwanza faida ya kujenga vituo vya mwendokasi Azania, Kwa ndevu, skanska, jkt, mbuyuni, kituo kipya,rafia,afrikana,jogoo, interchick,makonde,goig, shule, Kwa komba, bondeni, supermarket, lugalo, na mwenge..... KWA NINI MAFISADI CCM MNAJENGA LIKITUO LIKUUUUUUUUUBWA...... Halafu nyie wapuuzi mnajua ipo siku tutaparuana??? Gentlemen acheni upuuzi wezi wakubwa nyie.... Ipo siku inakuja matapeli wakubwa nyie. SHUWAINI KABISA ....
Hata ukionewa wewe tii tu. Niombee niwe rais siku moja ili nilete usawa kwa wotemadhara ya kushupaza shingo na kutoheshimu mamlaka mara nyingi huwapata watu moja moja kibinafsi,
nakuombea hekima na busara kwenye kutii mamlaka za wanadamu 🐒
unaonewaje gentleman kama sio kiburi, ujeuri na ukaidi tu wa kutii ilani za kiusalama na sheria bila shuruti ?Hata ukionewa wewe tii tu. Niombee niwe rais siku moja ili nilete usawa kwa wote
Barabara zenyewe ni chache. Ikifungwa barabara moja tu ni Jiji zima linasimana. Wakishapita hadi foleni iishe huchukua muda mrefu hali kurudi sawa.Hapa Dodoma ndio shida kabisa,Rais yupo Chamwino,Makamu-Mayamaya,Waziri Mkuu-Mlimwa C,Naibu Waziri Mkuu-Makulu,Spika-Mlimwa C,Mkuu wa majeshi-Ilazo,bado yule DG wa TISS-Mlimwa C.
Hao wote wanatoka kwenye hayo makazi tao tofauti tofauti kwenye Ofisi zao zilizo maeneo tofauti tofauti..yani ni kero zaidi ya kero.
Ilani za kiusalama na sheria zote za nchi nafuata lakini sipendi wenye mamlaka wanavyovunja sheria hasa ya usalama barabara. Wanaonea watu tena sana. eg kuna mstaafu mkuu wa jeshi alikuwa anasali hapo saint Peter's Jumapili misa ya asubuhi anatoka saa 3 barabara ya Mwaikibaki ni nyeupe lakini mnasogezwa nje ya barabara ili apite. Namshukuru Mungu nasikia kahamia sijui Kinyereze au Segerea nina amani sipishani naye tena nikienda kanisani Jumapiliunaonewaje gentleman kama sio kiburi, ujeuri na ukaidi tu wa kutii ilani za kiusalama na sheria bila shuruti ?
uongozi haunaga majaribio gentleman 🐒
Pole gentleman,Ilani za kiusalama na sheria zote za nchi nafuata lakini sipendi wenye mamlaka wanavyovunja sheria hasa ya usalama barabara. Wanaonea watu tena sana. eg kuna mstaafu mkuu wa jeshi alikuwa anasali hapo saint Peter's Jumapili misa ya asubuhi anatoka saa 3 barabara ya Mwaikibaki ni nyeupe lakini mnasogezwa nje ya barabara ili apite. Namshukuru Mungu nasikia kahamia sijui Kinyereze au Segerea nina amani sipishani naye tena nikienda kanisani Jumapili
We jamaa sidhani kama sio kichaa.Gentleman,
heshimu mamlaka za dunia, maana zimetoka kwa Mungu, nawe utabarikiwa,
usichoke 🐒
Mbona kipindi cha Nyerere mpaka Mkapa hatukuona fujo hizi? Hii nchi amani na utulivu ni tele na usalama wa viongozi ni assured 💯Pole gentleman,
pole sana, unajua protocol saa zingine ni changamoto kwa wasiofahamu, kwasabb kuna watu wanalipwa kumlinda kiongozi huyo kwa taratibu maalumu na ndio maana inakua usumbufu kwa wengine,
hapo watu wanatekeleza majukumu yao hapo gentleman 🐒
Wizara ya mambo ua ndani imelala.Mambo haya.yalianza kwa Magufuli lakini.sasa yamezidi. Kila mwenye kingora kwenye gari anataka akiwashe.apishwe njia.zenyewe ziko kwenye ujenzi uchwara.wa.mwendokasi.
Wananchi tuna sumbuliwa.sana.na watu wanaojifanya.wanawahi na. Kuwasha vingora.
Tunaomba kauli na.hatua.zichukuliwe haraka sana. Magari ya.dfpa nayo yanataka.yapishwe. Haya.mabasi.mapya.ya.jeshi.ndio.kabisa. juzi.basi.la.JKT football club pale kunduchi polisi wamwshuka watu wakaanza kumpiga.dereva.lori kwanini hataki.kuwapisha. hii.si.sawa.
Tunahitaji reforms za.uhakika kujua nani.ana haki gani na.kwa.mamlaka.gani kisheria
Kweli ving'ora vimezidi sana nimekaa maeneo ya africana kwa siku magar ya ving'ora hata 50 yanapita mengie hamna hata folen unakuta kakiwasha, nahisi ni ushamba flanMambo haya.yalianza kwa Magufuli lakini.sasa yamezidi. Kila mwenye kingora kwenye gari anataka akiwashe.apishwe njia.zenyewe ziko kwenye ujenzi uchwara.wa.mwendokasi.
Wananchi tuna sumbuliwa.sana.na watu wanaojifanya.wanawahi na. Kuwasha vingora.
Tunaomba kauli na.hatua.zichukuliwe haraka sana. Magari ya.dfpa nayo yanataka.yapishwe. Haya.mabasi.mapya.ya.jeshi.ndio.kabisa. juzi.basi.la.JKT football club pale kunduchi polisi wamwshuka watu wakaanza kumpiga.dereva.lori kwanini hataki.kuwapisha. hii.si.sawa.
Tunahitaji reforms za.uhakika kujua nani.ana haki gani na.kwa.mamlaka.gani kisheria
Shwainimwerevu relax na usipanic tafadhali,
haukana kitakachobadilika kwenye hilo![]()