Tunachoshwa sana na kupisha vingora barabarani hapa Dar Es Salaam

Issue ya ving'ora ni kero sana na usumbufu sana.Cha abaju hata muda wa kurudi nyumbani, ni mifujo tuu, na kuchomekeana, unawaza huyu anawasha king'ora akamuwahi mkewe nyumbani ama....
Tuna miaka mingi kufikia true civilization...
 
Hata hicho kimoja ilikuwa nadra sana kukutana nacho. Niliishi Msasani miaka hiyo sikuwahi kukutana na kingoro au kusimamishwa eti mwl Nyerere anapita
Kulikuwa Hakunaga kusimamishwa magari yalikuwa machache hivyo mnapisha tu kama inapita ambulance 😄
 
Hapa Dodoma ndio shida kabisa,Rais yupo Chamwino,Makamu-Mayamaya,Waziri Mkuu-Mlimwa C,Naibu Waziri Mkuu-Makulu,Spika-Mlimwa C,Mkuu wa majeshi-Ilazo,bado yule DG wa TISS-Mlimwa C.
Hao wote wanatoka kwenye hayo makazi tao tofauti tofauti kwenye Ofisi zao zilizo maeneo tofauti tofauti..yani ni kero zaidi ya kero.
Zoweeni,dar masaa mawili mnatulizwa rais aende eapoti
 
Mambo haya.yalianza kwa.magufuli lakini.sasa yamezidi. Kila mwenye kingora kwenye gari anataka akiwashe.apishwe njia.zenyewe ziko kwenye ujenzi uchwara.wa.mwendokasi.
Wananchi tuna sumbuliwa.sana.na watu wanaojifanya.wanawahi na. Kuwasha vingora.

Tunaomba kauli na.hatua.zichukuliwe haraka sana. Magari ya.dfpa nayo yanataka.yapishwe. Haya.mabasi.mapya.ya.jeshi.ndio.kabisa. juzi.basi.la.JKT football club pale kunduchi polisi wamwshuka watu wakaanza kumpiga.dereva.lori kwanini hataki.kuwapisha. hii.si.sawa.

Tunahitaji reforms za.uhakika kujua nani.ana haki gani na.kwa.mamlaka.gani kisheria
Kila mtu ana mamlaka kwa urefu wa kamba yake.Mama lishe akiamua kuweka meza mbele ya geti lako ni shida sana kumtoa
 
Hii barabara ya kutoka mwenge mpaka bunju, wasingejenga mwendokasi,

Wangetandika mkeka njia nane, au hata kama ule wa mbezi kibaha.

Hao wa ving'ora wangekua wanabana kulia wanapita na ukali bila zengwe.

Hii njia inaenda makazi ya viongozi wengi sana, kwa sasa eneo la kuanzia mbezi shule yoote mpaka bunju ni makazi ya public figure wengi(hata rais wako anayo makazi binafsi kipande hiki)

Halafu niwaulize mainjinia wa mwendokasi, kulikua na ulazima upi kujenga vituo virefu kile kipande cha lugalo wakati eneo lile halina abiria wengi? Hamjifunzi kwenye vituo vyenu vingine? Likituo linakua kuuuuubwa watu wenyewe hakuna, unamkuta askari na katisha ticket tu.
Lugaro hospital iko maeneo hayo
 
Mambo haya.yalianza kwa.magufuli lakini.sasa yamezidi. Kila mwenye kingora kwenye gari anataka akiwashe.apishwe njia.zenyewe ziko kwenye ujenzi uchwara.wa.mwendokasi.
Wananchi tuna sumbuliwa.sana.na watu wanaojifanya.wanawahi na. Kuwasha vingora.

Tunaomba kauli na.hatua.zichukuliwe haraka sana. Magari ya.dfpa nayo yanataka.yapishwe. Haya.mabasi.mapya.ya.jeshi.ndio.kabisa. juzi.basi.la.JKT football club pale kunduchi polisi wamwshuka watu wakaanza kumpiga.dereva.lori kwanini hataki.kuwapisha. hii.si.sawa.

Tunahitaji reforms za.uhakika kujua nani.ana haki gani na.kwa.mamlaka.gani kisheria
Umetimiza wajibu au unadai haki tu?
 
Siyo kufuru ni maandiko kama wewe ulivyo quote maandiko. Hata hivyo Mungu amempa mwanadamu akili ya kujua lipi la kuheshimu,kuhoji na kutosheshimu.
madhara ya kushupaza shingo na kutoheshimu mamlaka mara nyingi huwapata watu moja moja kibinafsi,

nakuombea hekima na busara kwenye kutii mamlaka za wanadamu 🐒
 
Ni pamoja na ukoloni, utumwa na ubaguzi wa rangi (apartheid)?
zingatia mawaidha na maelekezo mahususi na ya msingi kwenye koment yangu, itakusaiadia sana gentleman,

kinyume na hapo ni hasara binafsi tu 🐒
 
Mambo haya.yalianza kwa.magufuli lakini.sasa yamezidi. Kila mwenye kingora kwenye gari anataka akiwashe.apishwe njia.zenyewe ziko kwenye ujenzi uchwara.wa.mwendokasi.
Wananchi tuna sumbuliwa.sana.na watu wanaojifanya.wanawahi na. Kuwasha vingora.

Tunaomba kauli na.hatua.zichukuliwe haraka sana. Magari ya.dfpa nayo yanataka.yapishwe. Haya.mabasi.mapya.ya.jeshi.ndio.kabisa. juzi.basi.la.JKT football club pale kunduchi polisi wamwshuka watu wakaanza kumpiga.dereva.lori kwanini hataki.kuwapisha. hii.si.sawa.

Tunahitaji reforms za.uhakika kujua nani.ana haki gani na.kwa.mamlaka.gani kisheria
Naunga mkono hoja.....

Yaani imekuwa ni vurugu sasa....

Utolewe utaratibu wa wanufaika wa ving'ora hivyo....

#Nchi Kwanza!
 
Hii barabara ya kutoka mwenge mpaka bunju, wasingejenga mwendokasi,

Wangetandika mkeka njia nane, au hata kama ule wa mbezi kibaha.

Hao wa ving'ora wangekua wanabana kulia wanapita na ukali bila zengwe.

Hii njia inaenda makazi ya viongozi wengi sana, kwa sasa eneo la kuanzia mbezi shule yoote mpaka bunju ni makazi ya public figure wengi(hata rais wako anayo makazi binafsi kipande hiki)

Halafu niwaulize mainjinia wa mwendokasi, kulikua na ulazima upi kujenga vituo virefu kile kipande cha lugalo wakati eneo lile halina abiria wengi? Hamjifunzi kwenye vituo vyenu vingine? Likituo linakua kuuuuubwa watu wenyewe hakuna, unamkuta askari na katisha ticket tu.
wanakera vituo virefu km Tiptop Haina watu,

Haya ukija hapa distance ya urafiki na shekilang!! Vurugu vurugu!!

Bado hapo mjini njia ya Azikiwe sjui ni vituo vitatu hata km population bado vituo vingi vitakuwa hovyo hovyo
 
Back
Top Bottom