Tunachoshwa sana na kupisha vingora barabarani hapa Dar Es Salaam

Issue ya ving'ora ni kero sana na usumbufu sana.Cha abaju hata muda wa kurudi nyumbani, ni mifujo tuu, na kuchomekeana, unawaza huyu anawasha king'ora akamuwahi mkewe nyumbani ama....
Tuna miaka mingi kufikia true civilization...
 
Hata hicho kimoja ilikuwa nadra sana kukutana nacho. Niliishi Msasani miaka hiyo sikuwahi kukutana na kingoro au kusimamishwa eti mwl Nyerere anapita
Kulikuwa Hakunaga kusimamishwa magari yalikuwa machache hivyo mnapisha tu kama inapita ambulance πŸ˜„
 
Zoweeni,dar masaa mawili mnatulizwa rais aende eapoti
 
Kila mtu ana mamlaka kwa urefu wa kamba yake.Mama lishe akiamua kuweka meza mbele ya geti lako ni shida sana kumtoa
 
Lugaro hospital iko maeneo hayo
 
Umetimiza wajibu au unadai haki tu?
 
Siyo kufuru ni maandiko kama wewe ulivyo quote maandiko. Hata hivyo Mungu amempa mwanadamu akili ya kujua lipi la kuheshimu,kuhoji na kutosheshimu.
madhara ya kushupaza shingo na kutoheshimu mamlaka mara nyingi huwapata watu moja moja kibinafsi,

nakuombea hekima na busara kwenye kutii mamlaka za wanadamu πŸ’
 
Ni pamoja na ukoloni, utumwa na ubaguzi wa rangi (apartheid)?
zingatia mawaidha na maelekezo mahususi na ya msingi kwenye koment yangu, itakusaiadia sana gentleman,

kinyume na hapo ni hasara binafsi tu πŸ’
 
Naunga mkono hoja.....

Yaani imekuwa ni vurugu sasa....

Utolewe utaratibu wa wanufaika wa ving'ora hivyo....

#Nchi Kwanza!
 
wanakera vituo virefu km Tiptop Haina watu,

Haya ukija hapa distance ya urafiki na shekilang!! Vurugu vurugu!!

Bado hapo mjini njia ya Azikiwe sjui ni vituo vitatu hata km population bado vituo vingi vitakuwa hovyo hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…