Tunachoshwa sana na kupisha vingora barabarani hapa Dar Es Salaam

Unakuta njia.zetu ni nyembamba sababu ya ufisadi na pesa haitoshi halafu unakuta mtu ana landcruiser lc 200 kawasha kingora na taa zile zinauzwa lumumba car accessesories shops. Analazimishwa apishwe.

Wageni wa wa nje wanatushangaa sana kwamba mbona productivity yenyewe ni.zero lakini tuna maafisa wengi.wanakula tuu kodi za wananchi na bado barabarani wanataka wapite haraka wakaangalie tv maofisini mwao.

Watu weusi nani katuloga. Utopolo mwingine ni huu wa kujenga mwendokasi kila pembe ya.dsm.

Huku north.of.dsm kuelekea bagamoyo ni middle.class na kila.mtu.ana.gari kulikuwa hakuna haja.ya.mwendokasi maana itaua biashara.ya bodaboda pia. Tatizo la kufanya vitu bila kuzingatia tafiti. Huku tegeta bunju kulihitaji njia 6 lanes basina.kumgependeza.sana.

Hii mwendokasi likifa lori njiani la tani 20 barabara haipitiki tena. Ndio maana tunaitwa.watu weusi na.akili zetu nyeusi pia. Mwendokasi italeta wazururali.wauza mihogo. Wafingua vibanda road reserve na.vibaka. ni kama daladala.zilivuopeleka uswahili masaki.
 
Nikadhani mimi tuu Fikra zangu kwenye hayo mavituo mrefu kumbe ni wengi...
Oyaa vile vituo walivyojenga sio kwa urefu ule.. Kuna kimoja nakiona Goig ambako kwanza ni sehemu hamna Abiria wengi ila kituo kirefu balaaa.. Kituo kina kama mita mia mbilii na usheee...
Kodi zetu zinatumiwa vibaya
 
madhara ya kushupaza shingo na kutoheshimu mamlaka mara nyingi huwapata watu moja moja kibinafsi,

nakuombea hekima na busara kwenye kutii mamlaka za wanadamu πŸ’
Hata ukionewa wewe tii tu. Niombee niwe rais siku moja ili nilete usawa kwa wote
 
Hata ukionewa wewe tii tu. Niombee niwe rais siku moja ili nilete usawa kwa wote
unaonewaje gentleman kama sio kiburi, ujeuri na ukaidi tu wa kutii ilani za kiusalama na sheria bila shuruti ?

uongozi haunaga majaribio gentleman πŸ’
 
Barabara zenyewe ni chache. Ikifungwa barabara moja tu ni Jiji zima linasimana. Wakishapita hadi foleni iishe huchukua muda mrefu hali kurudi sawa.
 
unaonewaje gentleman kama sio kiburi, ujeuri na ukaidi tu wa kutii ilani za kiusalama na sheria bila shuruti ?

uongozi haunaga majaribio gentleman πŸ’
Ilani za kiusalama na sheria zote za nchi nafuata lakini sipendi wenye mamlaka wanavyovunja sheria hasa ya usalama barabara. Wanaonea watu tena sana. eg kuna mstaafu mkuu wa jeshi alikuwa anasali hapo saint Peter's Jumapili misa ya asubuhi anatoka saa 3 barabara ya Mwaikibaki ni nyeupe lakini mnasogezwa nje ya barabara ili apite. Namshukuru Mungu nasikia kahamia sijui Kinyereze au Segerea nina amani sipishani naye tena nikienda kanisani Jumapili
 
Pole gentleman,
pole sana, unajua protocol saa zingine ni changamoto kwa wasiofahamu, kwasabb kuna watu wanalipwa kumlinda kiongozi huyo kwa taratibu maalumu na ndio maana inakua usumbufu kwa wengine,

hapo watu wanatekeleza majukumu yao hapo gentleman πŸ’
 
Mbona kipindi cha Nyerere mpaka Mkapa hatukuona fujo hizi? Hii nchi amani na utulivu ni tele na usalama wa viongozi ni assured πŸ’―
 
Wizara ya mambo ua ndani imelala.
 
Kweli ving'ora vimezidi sana nimekaa maeneo ya africana kwa siku magar ya ving'ora hata 50 yanapita mengie hamna hata folen unakuta kakiwasha, nahisi ni ushamba flan
 
Waziri wa mambo ya ndani chukua hatua ainisha ni nani anapaswa kupishwa njiani na mida gani. Wengine wanawahi beer wanawasha vingora.

Wateuliwa plus serikali.za.mitaa. ccm. Wakurugenzi wa mashirika. Siku moja nimeona.merceded braebus.nyeusi sijui ya mtoto.wa.gsm imehama barabara na.kingora.juu.

Hii ina maama hatuna.ethics and code of conduct kuna mtu anakula mshahara wa bure hafanyi kazi yake
 
Bora dsm , dodoma kila cruiser ina king'ora na inataka ipishwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…