Tunaelekea kufunga ndoa, lakini sina hisia naye tena za kimapenzi

Sasa mna pekechuana miaka 5 halafu ndio mje muoane hii ni mbaya uhusiano mzuri ni mwaka tu .
Halafu ndoa 5 ndio maana kila kitu kimekauka ameshamaliza hisia zote na kila kitu wewe olewa tu kwamaana kumpata mume akakusikiliza kwa maisha ya sasa ni ngumu.
Naukitaka uhisi upendo tena kumbukia nyum a
 
mkuu kuna muda mambo haya hutokea with no reason, utakuta mwenza anafanya kila kitu ajili yako bt hata hisia nae unakua huna...

kuna wakati wife nilikuaga namuona kama kibwengo bt baada ya kuanza kumshirikisha mungu changamoto hii ilitoweka kabisa

Bila sababu mtu anabadilika?sidhani
 
Una mtu mwingine aliyesababisha hali hii? Sema kweli msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
 
I am worried that there is mchepuko around the corner. It’s not easy especially for a woman to say so without a very valid reason.
 
Pole sana, mnaishi pamoja?
 
Point
 
Mleta mada kama akifunguka vizuri tunaweza kujua tatizo liko wapi ila kwa maelezo haya ni kuharibiana matumizi ya akili

Kuwa muwazi nini kinaendelea nyuma ya pazia au unahisi tatizo limesababishwa na nini?Kweli mmefikia hatua ya ndoa hisia zimekata ghafla kwa watoto wa kizazi mnavyopenda ndoa kama hela
 
aisee! mkitibuliwe mbususu hamtoi au siyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…