Tunaelekea kufunga ndoa, lakini sina hisia naye tena za kimapenzi

Sheillah Sheillah

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2020
Posts
653
Reaction score
1,698
Habari.

Mimi na mpenzi wangu tumekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitano kama boyfriend na girlfriend (sio uchumba).

Nikiri kwamba tumekuwa na kutokuelewana kama ilivyo kawaida ya mahusiano lakini tupo vizuri kuhakikisha tatizo lolote linatatuliwa kwa wakati na kuhakikisha mawasiliano hayapotei. Pia tumekuwa na nyakati za furaha.

Tatizo lililopo ni kwamba nimepoteza kabisa hisia za kimapenzi kwa huyu mpenzi wangu ambaye tunategemea kupiga hatua mpya ya mahusiano yetu kuelekea kwenye ndoa.

Nikiwa nae sihisi chochote kabisa, ni kama nipo na mtu ambaye ni jinsia yangu, akinigusa sihisi chochote tena hata kwenye suala zima la sex imefika wakati hadi tutumie lubricants au wakati mwingine tuangalie video za wakubwa to get wet (hii aliipendekeza yeye nilikuwa siangalii kabla ya tatizo). Hili tatizo halikuwa mwanzoni, limetokea miezi kadhaa sasa.

Napata wakati mgumu sana ukizingatia tunaelekea kuwa mwili mmoja. Nimejaribu njia mbalimbali za kutatua hili tatizo ikiwa ni pamoja na kushirikisha wataalamu lakini tatizo bado lipo.

Pia nimemshirikisha yeye ila yeye anahisi nitakuwa na tatizo la uke kuwa mkavu, kitu ambacho nina uhakika sina.

Wanajukwaa naombeni ushauri wenu juu ya kutatua tatizo hili.
1622526051019.png

Do what is the best for the situation... Otherwise utaumia for the rest of ur remaining life....
Just imagine, kuwa unajilazimisha hivyo kila siku. Au imagine, familia ambayo watu ili mkwichi hadi muwashe brazzers...

Chukua hatua
 
Hii ya kukosa hisia kwa mwenza wako ni kawaida kama huwa mnasex mara kwa mara(huwa inatokea mara nyingi kwa wanawake)

Jipeni muda wa kumisiana

Ama kama katika kutoelewana kwenu kuna jambo alikukosea likakuacha na kinyongo nae jaribu kumsamehe kutoka moyoni,mpende kama mwanzo
 
Ashapata bwana mwingine huyo bora ajikatae mapema tu.
 
1. Miaka mitano mlikua mna-date au mnasomea udaktari?

2. Ile stage ya "honeymoon" sasa ndo imeisha, ya mahaba motomoto, ma sparks kama yote, butterflies in the stomach. Kwishney. Ilitakiwa hiyo stage iwakute kwenye ndoa, sasa shida mme date na kupikiana na kupakuliana for five years kama mko medical school.

3. Ndoa ni zaidi ya sex, japokua bila sex hakuna ndoa.
 
Sawa, je huna hisia naye tu au hata kwa wanaume wengine huna hisia? Maana inawezekana huna hisia kwa wanaume wote.

Una mchepuko kwa sasa!? Kama ndiyo, muache.. Mchepuko unaweza ukakufanya umdharau mchumba wako na kumuona hana lolote. Akili inajitwist kwake.

Je, anakuhonga na kukujali? Kama hapana, mueleze ukweli. Hisia muda mwingine huchochewa na tabia za mtu kwa mwingine.
 
There will be such times when you look at your partner and wonder, wawapi huyu?

Then you remember what a loving person they used to be. How they loved you with all of their hearts and it was at such a moment that you decided they would be your partner for life.

The idea of getting married and dedicating your life to one partner can give you cold feet Sheila. It can freak you out and the effects can be physical or psychological or both.

You therefore have to look beyond today, beyond next year and beyond the next five years. Does he have the qualities that will make him a great Dad? You have to put yourself aside and think of the little family that you will create.

Good men are hard to come by. When you find one cling to them with all that you have.

Mengine utasolve tu kwa kubadilisha diet, kuongeza kungumanga kwenye diet etc. Huenda upo affected na mipango ya harusi ndo maana hata kulainika ni issue, huenda ni hormones, huenda Baby wako alikukera sasa badala uongee unabaki nalo moyoni na kumuona hafai.

Do not let go of that man young lady.
 
Nifundishe kingreza basi!
 
Watu wengi sana hua wanadhani wanaume ndio tunaanza kuwakinai wapenzi wetu. Ukweli ni kwamba, wanawake hua wanaanza kukinai mapema sana!

Mwanamke mpe maximum miaka miwili baada ya hapo ni business as usual lazima mtaanza ku struggle. Na mara nyingi kama mwanamke umeshamuoa au unaishi nae, hapo ndio visingizio vya kichwa kuuma, mgongo, stress, periods ku extend kwa wiki mbili nk.

Kwa kifupi mleta mada ameshamchoka jamaa. Mi nashauri kama ana mchepuko amuache huyo mchumba ahamie kwa mchepuko ndio uwe main road.

Sawa, je huna hisia naye tu au hata kwa wanaume wengine huna hisia? Maana inawezekana huna hisia kwa wanaume wote.

Una mchepuko kwa sasa!? Kama ndiyo, muache.. Mchepuko unaweza ukakufanya umdharau mchumba wako na kumuona hana lolote. Akili inajitwist kwake.

Je, anakuhonga na kukujali? Kama hapana, mueleze ukweli. Hisia muda mwingine huchochewa na tabia za mtu kwa mwingine.
 
There will be such times when you look at your partner and wonder, wawapi huyu?

Then you remember what a loving person they used to be. How they loved you with all of their hearts and it was at such a moment that you decided they would be your partner for life.

The idea of getting married and dedicating your life to one partner can give you cold feet Sheila. It can freak you out and the effects can be physical or psychological or both.

You therefore have to look beyond today, beyond next year and beyond the next five years. Does he have the qualities that will make him a great Dad? You have to put yourself aside and think of the little family that you will create.

Good men are hard to come by. When you find one cling to them with all that you have.

Mengine utasolve tu kwa kubadilisha diet, kuongeza kungumanga kwenye diet etc. Huenda upo affected na mipango ya harusi ndo maana hata kulainika ni issue, huenda ni hormones, huenda Baby wako alikukera sasa badala uongee unabaki nalo moyoni na kumuona hafai.

Do not let go of that man young lady.

Huu muandiko na hiki kingereza mbona kama ni vya mtu nnaemfahamu jamani..?🙄
 
Unakuaga na ushauri mzuri sana we dada.
Nimekupenda
 
Back
Top Bottom