Sheillah Sheillah
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 653
- 1,698
Habari.
Mimi na mpenzi wangu tumekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitano kama boyfriend na girlfriend (sio uchumba).
Nikiri kwamba tumekuwa na kutokuelewana kama ilivyo kawaida ya mahusiano lakini tupo vizuri kuhakikisha tatizo lolote linatatuliwa kwa wakati na kuhakikisha mawasiliano hayapotei. Pia tumekuwa na nyakati za furaha.
Tatizo lililopo ni kwamba nimepoteza kabisa hisia za kimapenzi kwa huyu mpenzi wangu ambaye tunategemea kupiga hatua mpya ya mahusiano yetu kuelekea kwenye ndoa.
Nikiwa nae sihisi chochote kabisa, ni kama nipo na mtu ambaye ni jinsia yangu, akinigusa sihisi chochote tena hata kwenye suala zima la sex imefika wakati hadi tutumie lubricants au wakati mwingine tuangalie video za wakubwa to get wet (hii aliipendekeza yeye nilikuwa siangalii kabla ya tatizo). Hili tatizo halikuwa mwanzoni, limetokea miezi kadhaa sasa.
Napata wakati mgumu sana ukizingatia tunaelekea kuwa mwili mmoja. Nimejaribu njia mbalimbali za kutatua hili tatizo ikiwa ni pamoja na kushirikisha wataalamu lakini tatizo bado lipo.
Pia nimemshirikisha yeye ila yeye anahisi nitakuwa na tatizo la uke kuwa mkavu, kitu ambacho nina uhakika sina.
Wanajukwaa naombeni ushauri wenu juu ya kutatua tatizo hili.