Tunaelekea wapi jamani? Mfuko wa saruji(cement) umefikia Sh. 15,500/= Kigamboni

Uvuvi....kilimo
Sijawa mzoefu maeneo hayo labda uni convince.
Umewahi kutembelea maeneo gani ya Mtwara zeshchriss?? Kuna maeneo yanashawishi sana kuwekeza hasa kwenye kilimo cha Korosho mfano Nanyamba,Tandahimba na Newala
Nitakuja huko Kilwa nikaone hizo fursa za uvuvi na kilimo unazosema.
 
Kwakweli mtwara zaidi ya mtwara mjini sijawahi fika sehemu nyingine then kilwa ni sehemu nzuri kwa kilimo cha mikorosho...mpunga....mahindi...mtama ...mbaazi...naweza sema zao lolote linakubali nilisahau ufuta ndo zaidi
 
Kwakweli mtwara zaidi ya mtwara mjini sijawahi fika sehemu nyingine then kilwa ni sehemu nzuri kwa kilimo cha mikorosho...mpunga....mahindi...mtama ...mbaazi...naweza sema zao lolote linakubali nilisahau ufuta ndo zaidi
Nitakuja mkuu zeshchriss kuwatembelea hope nitapata cha kujifunza huko Kilwa hususani kwenye kilimo.
 
Cement na nondo zimekuwa anasa kwa sasa, nakumbuka mheshimiwa alisema materials za ujenzi zitashuka mara dufu, kumbe alimaamisha zitapanda mara dufu.
 
Pole sana mkuu kwa kuongea usilolijua........tuulize kina sie tuliokua kwenye game hii ya kuuza cement.....
 
Tena Cement yenyewe inatengenezwa huku huku Kigamboni, mfano mzuri ni Nyati cement, bei yake haishikiki, ni nani huyo huko serikalini anataka utajiri wa haraka haraka namna hii?
Huku kwenu Geita - Chato ni 20,000
 
Nipo Jirani kabisa na kiwanda cha wazo ila kwa sasa siwezi kupata access ya kupata cement. Kwa sasa mzigo tunachukulia Ubungo kwa mhindi na yenyewe inabidi uwahi saa Tisa usiku ili uhesabiwe mamba.........
 
Kunywa bia zimeshuka bei,utajenga Giza likiisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…