jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,648
- 4,452
Tarime hawajui vitu vya Tanzania, waulize kuhusu Kwanga, Kimbo na Bamburi Cement.Uwe mpole, tunatafuta pesa zakununulia ndege.
Tarime f21 hadi f20. Safali hii hata kujenga hatujengi
Mim mwaka 2017 mwezi wa 11 nilikuwa nimenunua mifuko 80 kila mmoja ni 12,000 kumbe kiwandani ni 9000 halafu location ni kigambon mwembemdogo karibu na dar es salaam zoo ila kwa sasa bei sijui itakuwa ngapi maana hata msingi badoTena Cement yenyewe inatengenezwa huku huku Kigamboni.
Mfano mzuri ni Nyati cement, bei yake haishikiki.
Ni nani huyo huko serikalini anataka utajiri wa haraka haraka namna hii?
Sababu kubwa ni ongezeko la tozo la thaman na kodi lazima kampuni ipandishe bei ila wauzaji nao ndo wanazidiTena Cement yenyewe inatengenezwa huku huku Kigamboni.
Mfano mzuri ni Nyati cement, bei yake haishikiki.
Ni nani huyo huko serikalini anataka utajiri wa haraka haraka namna hii?
Hapa Kazi tu Mkuu,Tena Cement yenyewe inatengenezwa huku huku Kigamboni.
Mfano mzuri ni Nyati cement, bei yake haishikiki.
Ni nani huyo huko serikalini anataka utajiri wa haraka haraka namna hii?
Na sukari,mawese?Acha uongo wewe wote tulikuwepo miaka yote hiyo
Cement ina msimu huwa inapanda sana, kisha inaanza kushuka na hiyo kuuzwa 15,500 si leo tu hata miaka ya nyuma iliwahi kuwa hivyo
Acha uongo weweDah....kwanza shukuru.....mwaka 2006 nilinunua cement 25,000/- kwa mfuko Goba
Wamesemaje?ITV HABARI WAMENISIKIA MUDA HUU
Za chini chini Twiga wamestopisha uzalishajiWaziri anadai demand imekuwa kubwa kipindi Hiki!!!
Wamesema ni kipindi cha mpito tuWamesemaje?
Nadhani next week mambo yatakaa sawaWamesema ni kipindi cha mpito tu
Labda, ingawa huwa hawaaminiki wanasiasaNadhani next week mambo yatakaa sawa