Tunaelekea wapi kwa hili ongezeko la Wasagaji?

Kuna upungufu wa jinsia me duniani
..wengine wamehamia upande wetu,wengine wapo magerezani,wengine Ni maparoko,na wengine wameshaoa ndoa ya mke mmoja....hizo ndi Sababu kubwa
Aisee
 
Sisi wengine tumeruhusiwa wanne lakini bado mmoja tulienae eti hataki tuwasitiri na wengine wanaoranda randa mitaani! Wanawake hampendani!!
Shida sio ndoa, shida ni kutokomeza hii tabia na ndoa haiwez/haziwezi kutokomeza hizi tabia kama malezi tunayotoa kama jamii ni mabovu.

Kumbuka kuna wake za watu ni wasagaji pia
 
Hiyo ndo kila siku CHADEMA wanatuambia ni faragha za watu.
Sio chameda bali ni katiba ndio inavyosema. Ujui kuwa kwenye katiba kuna haki ya faragha?
Acha kusikiliza wanasiasa watakupoteza maana wanatumia ujinga wako kama mtaji.
 
As of 2021, There are 3,970,238,390 or 3,970 million or 3.97 billion males in the world, representing 50.42% of the world population. The population of females in the world is estimated at 3,904,727,342 or 3,905 million or 3.905 billion, representing 49.58% of the world population. The world has 65,511,048 or 65.51 million more males than females.
 
Mkuu hizi data zako umetolea wapi mbona naona Kama zipo opposite?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…