Tunaelekea wapi kwa hili ongezeko la Wasagaji?

Labda ilikuwa ladies' night out,,,,,
 
Hiyo ndo kila siku CHADEMA wanatuambia ni faragha za watu.
Ni bora chadema walisema faragha ya watu kuliko CCM iliyokaa kimya ikimuogopa Boss atawanyima. Mikopo minono

Hii ni sawa na unaliwa mke wako na boss na umeogopa kukinukisha et utakosa Kazi


Wakulaumiwa ni SERIKALI iliyokosa makali kuhusu hili uku ikihofia kuwekewa vizuiz so hawajui wafanyaje?
 
Mkuu ulitaka umkute MAISON AU HAVOC [emoji23][emoji23][emoji23]?? huyu jamaa katoka Kapri Mposhi mwache kwanza apumzike
😂😂😂 Dah mkuu ndo umenichoka hivi, Mimi kweli wa kuishi kapri Mposhi?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu, watu wanachukua takwimu za kwenye memes wanafanya ndio takwimu halisi nchi ngumu hii
 
Hiyo ndo kila siku CHADEMA wanatuambia ni faragha za watu.
Mbona sasa yanaendelea hadharani chini baraka za CCM? Mna uongozi hadi Shinani lakini vitu kama hivi mnajifanya hamvioni. Acheni kuangamiza Taifa.
 
Mbona sasa yanaendelea hadharani chini baraka za CCM? Mna uongozi hadi Shinani lakini vitu kama hivi mnajifanya hamvioni. Acheni kuangamiza Taifa.
Wanaowatetea na kuhamasisha kwamba kuwa ni faragha wasiingiliwe ni chadema, ulitaka kiongozi wa shina wa CCM aende huko club akawaambie usagaji haufai wakati wakili wenu msomi tundu anawatetea hadharani?
 
Wanaowatetea na kuhamasisha kwamba kuwa ni faragha wasiingiliwe ni chadema, ulitaka kiongozi wa shina wa CCM aende huko club akawaambie usagaji haufai wakati wakili wenu msomi tundu anawatetea hadharani?n

Wanaowatetea na kuhamasisha kwamba kuwa ni faragha wasiingiliwe ni chadema, ulitaka kiongozi wa shina wa CCM aende huko club akawaambie usagaji haufai wakati wakili wenu msomi tundu anawatetea hadharani?
Nadhani una matatizo ya akili. Ni nani anaye-regulate maadili ya Taifa kama siyo Serikali iliyopo madarakani? Kwa hiyo Serikali ya CCM imeacha mambo yaende kienyeji kwa sababu wakili Wa CDM alishatetea hadharani?. Afterall hakuna wakili wa sheria anayetetea issues hadharani isipokuwa mahakamani tu. Wakili anatambulika mahakamani siyo mtaani. Jifunze kutenganisha scenario.
 
Nchi gani umetokea halafu ukaenda club buguruni.Ukute ulikuwa hapo bujumbura ndo unasema ulikuwa nje ya nchi.
Lilongwe......kaja kwa mpaka wa Murusagamba kwa bodaboda afu anajifanya katika nje ya nchi kumbe hapo Kyela.
 
Hizo isshu ziko mbona mm hapa kuna demu ni jirani angu ananimbia Kuna mwanamke huwa anamsumbuwa mno ili amsage ameshamtumia mpk nauli ila demu kagoma hyo michezo ushaid niliona pale alivyo nionesha msg na video anazotumiwa na yule mdad za kusagana na msagaji inaonekana Ana feza
 
Sasa si ulienda club, ulitegemea kukuta wanaimba kwaya au? Mrudie Mungu wako maana hujawazidi dhambi. Okoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…