Tunafahamu ni utandawazi ila hii sio sawa!

Tunafahamu ni utandawazi ila hii sio sawa!

Nimekutana na video moja kwenye mtandao wa Facebook, inaonesha watoto bila shaka ni watoto wa chekechea kwa hakika sidhani kama hii imekaa sawa.
View attachment 3222541

Ni jambo zuri watoto kupata muda wa kufurahi na kujifunza ila sio kucheza mitindo hii tena mbali zaidi kufanya challenge za mitandao ya Facebook na Tiktok.
Binafsi kwangu hii ni BIG NO!
Unashangaa hilo,kwani unaishi dunia gani?Hivi unahabari yupo millioner wetu amefika alipofika kwa kaaazi chafu?Zenye kummomonyoa maadili kwa viwango vya kutisha na hamna aliyestuka?
 
Back
Top Bottom