SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,016
- 13,780
Hii ni shida kubwa.Nimekutana na video moja kwenye mtandao wa Facebook, inaonesha watoto bila shaka ni watoto wa chekechea kwa hakika sidhani kama hii imekaa sawa.
View attachment 3222541
Ni jambo zuri watoto kupata muda wa kufurahi na kujifunza ila sio kucheza mitindo hii tena mbali zaidi kufanya challenge za mitandao ya Facebook na Tiktok.
Binafsi kwangu hii ni BIG NO!
Afande Sele alisema;
Maendeleo yanakuja na mambo Leo.