Tunafahamu ni utandawazi ila hii sio sawa!

Tunafahamu ni utandawazi ila hii sio sawa!

Ulinganifu tunaojipa na south ni upi?Ni swala la muda wasouth walisha amka na kuona mwendo sio ili mambo yaende ama kuwadhibiti wavamizi wa fursa zao ama watwawala wao.Sisi tumejikita kushibisha tumbo la chawa mmoja mmoja kwa imani kuwa atawadhibiti wenye njaa na mahitaji na kusahau shida zao.Japo mimi sioni kama ndio dawa .ila dawa ni kuacha ujinga na kufanya yaliyo sahihi na kwa manufaa ya wengi na sii wachache au yale manufaa ya makundi ya twawala.
Aisee umeongea point sana...
 
Kawaida Upumbavu wa wazungu, ndio fasheni kwa watu weusi
 
Back
Top Bottom