kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,444
- 3,576
Standard working hours
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi Si masaa8 hapo wanawanyonya mnatakiwa mlipwe overtimeHellow Wana JF, Moja Kwa moja niende kwenye mada
Nimekuwa nikisikia na kusoma mara kwa mara kuwa mwajiriwa ana haki ya kufanya kazi masaa nane au tisa au yasiyozidi masaa 45 Kwa wiki.
Nataka kufahamu Sheria hii (reference), pia Sheria inasemaje kuhusu mwajiriwa kufanya kazi zaidi ya masaa hayo bila ya pesa ya ziada??
Kuna kamtafaruki hapo job, tunafanya kazi saa moja hadi saa saa 12 Kuna watu wanataka wagome.
Mkataba tumesaini na Mimi binafsi Sina shida, maana mkataba niliuelewaHamkusaini mikataba? Au mlikua na wenge la kupata kazi hamkusoma terms mkakimbilia kutia Saini tu?
Solution ndio muhimu kuliko lawama, kama unajua elimisha watuNdo maana Tanzania inakuwa masikini
Shukran sana, Shida kubwa nahitaji ushahidi wa kifungu Cha SheriaKazi ni masaa nane au masaa yasiyozidi 12 kwa siku na masaa hayo yafanye jumla ya masaa yasizidi 45 kwa wiki.
Ok, JF ni shida sana, watu baada ya kuja na solution. Unakuta wanakuja na lawama na kukosoa.Hope wataalam watafafanua zaidi
Ok, JF ni shida sana, watu baada ya kuja na solution. Unakuta wanakuja na lawama na kukosoa.
Baada ya kuelimisha wao wanajua kukosoa bila kutoa elimu.
Weka vizuri wananyonywaje.. na wananyonywa na nini weka wazi.. neno kunyonywa si dogo mkuu..Kazi Si masaa8 hapo wanawanyonya mnatakiwa mlipwe overtime
Shukran sana, Shida kubwa nahitaji ushahidi wa kifungu Cha Sheria
inategemea na aina ya kazi, kuna kazi zingine wanafanya kazi masaa 12, ndani ya masaa 12 masaa manne wanalipwa overtime.Kazi ni masaa nane au masaa yasiyozidi 12 kwa siku na masaa hayo yafanye jumla ya masaa yasizidi 45 kwa wiki.