Tunahitaji Katiba Mpya au upinzani mpya?

Wewe mwenyewe hapa unasema uongo, na kama ungekuwa wazi ungeweka wa viongozi wa CCM kwani wao ndio wamekubuhu kwa uongo kuliko hata yule aliyefukuzwa mbinguni!
 
Ni Bora mlamba asali anayelamba Kwa kuonja kuliko walanaolamba na kukwiba mzinga a.k.a wanachukua chako mapema ().
 
Hivi kuna mlamba-asali zaidi ya huyu nani huyu nani huyu. Hebu nikumbusheni pls
 
Naona tuanze na namba 2 halafu tuje 1 kwanza.

1 imeshindwa kutupa 2 na hatuwezi kuanza na 0.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…