Tunahitaji tathimini ya safari za Rais Samia

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
Ndugu zangu watanzania sisi ndo walipa kodi wa nchi hii. Rais hana pesa zake wala CCM haina pesa zake.. hivyo basi tuna kila sababu ya kufahamu matumizi ya kodi hizi za watanzania masikini.

Rais alikuwa China juzi ametoka huko akaunga EGYPT. Safari zake kwa kipindi hiki cha mwaka na miezi sasa ni nyngi mnoo. Na ataondoka tena tu.

Tunahitaji mrejesho. Zina faida gani mpaka sasa na zimezalisha nini?
 
Nitajie sifa za watu wafupi wafupi kwanza,,tuanzie hapo
 
Katiba inamruhusu kutumia mfuko wa taifa anavyoona sawa. Kama hutaki kabadilishe katiba.
 
Nikikumbuka ili. Na mwanasheria wangu kasafiri acha nikae kimya.....
20221104_230742.jpg
 
Ndugu zangu watanzania sisi ndo walipa kodi wa nchi hii. Rais hana pesa zake wala CCM haina pesa zake.. hivyo basi tuna kila sababu ya kufahamu matumizi ya kodi hizi za watanzania masikini.

Rais alikuwa China juzi ametoka huko akaunga EGYPT. Safari zake kwa kipindi hiki cha mwaka na miezi sasa ni nyngi mnoo. Na ataondoka tena tu.

Tunahitaji mrejesho. Zina faida gani mpaka sasa na zimezalisha nini?
wasipo safiri nongwa wakisafiri nongwa
 
PSU na advance teams wanafurahia mno maana dollar zinaingia.
Yule mdada nyuma ya Rais na wale wa pembeni wana uhakika wa dollar 100,000 cash tokea mwaka jana
 
Safari za mh Rais zimekuwa na tija kubwa Sana kwa nchi yetu, Majuzi tu alipokuwa China Tumeona matunda ya ziara hiyo, Ni katika ziara hiyo ambapo kwa ushawishi wa kidiplomasia wa Rais Samia Tumeweza kusamehewa Deni la Billion 31 fedha ambazo zitatusaidia katika mambo mengi Kama vile ujenzi wa vituo vya Afya ,vyumba vya madarasa,shule mpya, uchimbaji wa visima virefu vya maji, ,n.k, lakini pia Kuna uwekezaji mkubwa Sana katika secta za kilimo,uvuvi ,viwanda ambazo tutaweza kunufaika nazo, hivyo kuongeza fursa za ajira na mapato ya kikosi,
 
PSU na advance teams wanafurahia mno maana dollar zinaingia.
Yule mdada nyuma ya Rais na wale wa pembeni wana uhakika wa dollar 100,000 cash tokea mwaka jana
Si mchezo!
 
Ndugu zangu watanzania sisi ndo walipa kodi wa nchi hii. Rais hana pesa zake wala CCM haina pesa zake.. hivyo basi tuna kila sababu ya kufahamu matumizi ya kodi hizi za watanzania masikini.

Rais alikuwa China juzi ametoka huko akaunga EGYPT. Safari zake kwa kipindi hiki cha mwaka na miezi sasa ni nyngi mnoo. Na ataondoka tena tu.

Tunahitaji mrejesho. Zina faida gani mpaka sasa na zimezalisha nini?
Mkulu mnafahamiana na Kibatala ?
 
Back
Top Bottom