blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Ndugu zangu watanzania sisi ndo walipa kodi wa nchi hii. Rais hana pesa zake wala CCM haina pesa zake.. hivyo basi tuna kila sababu ya kufahamu matumizi ya kodi hizi za watanzania masikini.
Rais alikuwa China juzi ametoka huko akaunga EGYPT. Safari zake kwa kipindi hiki cha mwaka na miezi sasa ni nyngi mnoo. Na ataondoka tena tu.
Tunahitaji mrejesho. Zina faida gani mpaka sasa na zimezalisha nini?