Nikikumbuka ili. Na mwanasheria wangu kasafiri acha nikae kimya.....View attachment 2413214mhh.why men!??
wasipo safiri nongwa wakisafiri nongwaNdugu zangu watanzania sisi ndo walipa kodi wa nchi hii. Rais hana pesa zake wala CCM haina pesa zake.. hivyo basi tuna kila sababu ya kufahamu matumizi ya kodi hizi za watanzania masikini.
Rais alikuwa China juzi ametoka huko akaunga EGYPT. Safari zake kwa kipindi hiki cha mwaka na miezi sasa ni nyngi mnoo. Na ataondoka tena tu.
Tunahitaji mrejesho. Zina faida gani mpaka sasa na zimezalisha nini?
Aiseee hii zoezi ni noma aisee wanakufanya chochote watakacho na hutawabishiaNikikumbuka ili. Na mwanasheria wangu kasafiri acha nikae kimya.....View attachment 2413214
Anafungua nchi kutuletea wawekezaji uchwara tupu.Eti ana fungua nchi
We ongea2 mkuu cm zipo kwaajiri ya mawasiliano kwahyo tutampigia2 wala usijaliNikikumbuka ili. Na mwanasheria wangu kasafiri acha nikae kimya.....View attachment 2413214
Hapo korodani na tundu dogo havina haliNikikumbuka ili. Na mwanasheria wangu kasafiri acha nikae kimya.....View attachment 2413214
Mkulu mnafahamiana na Kibatala ?Ndugu zangu watanzania sisi ndo walipa kodi wa nchi hii. Rais hana pesa zake wala CCM haina pesa zake.. hivyo basi tuna kila sababu ya kufahamu matumizi ya kodi hizi za watanzania masikini.
Rais alikuwa China juzi ametoka huko akaunga EGYPT. Safari zake kwa kipindi hiki cha mwaka na miezi sasa ni nyngi mnoo. Na ataondoka tena tu.
Tunahitaji mrejesho. Zina faida gani mpaka sasa na zimezalisha nini?