OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mimi na wenzangu tunaitakia USM Alger ushindi mzito wa kuanzia goli 3. Hawa Utopolo wakipigwa hata 6 tutafurahi zaidi. Wapigwe mpaka wasahau kama wamefika fainali. Kiwe ni kipigo cha aibu kuu itakayodumu miaka mitano.
Wapigwe magoli ya chenga za maudhi kama ya Chama au mishuti mama mkanye mwanao kama Kibu Denga.
Hata USM Alger wana Mungu, acheni kujimilikisha Mungu. Mungu ibariki USM Alger